Hii sio foleni ya maji, ni akina mama wakipanga folen kununua kadi za CHADEMA

hii mbona cha mtoto? hamkuona foleni za kwenda kunywa ile chai ya babu wa loliondo?
wabongo watangazie chochote tu kwa redio, gazeti au loudspeakers utawakamata kama petro alivyokamata samaki
 
Yale yale... urasimu mpaka kwenye kupata kadi ya chama cha siasa, tena kitachotaka kuleta njia mbadala, kwa hiyo huduma za serikali yao nazo zitakuwa ni hivyo hivyo, hii ndio imefanya sina kadi ya CHADEMA mpaka kesho, nilifunga safari kwenda ofisi za CHADEMA kutafuta kadi, nitakutana na urasimu ka huu, nikawaambia fellas I got better things to do, I am outta here, you don't need me any less than I need you.

omba uchumba kwa mtaalam wa kuoa,m/kiti wenu huku(CHADEMA)hakuna kulealea undugunaization,uconje moto kwa ulimi
 
wabunge mnao nyie wanaowawakilisha bungeni kwa kuchapa usingizi,na wengine wakiwa nje ya bunge kwa kutunga nyimbo za kumsifia jk na c.c.m... Bure kabisa
big up chadema, watu wengine wana wivu tu.....
Kazi kwenu magamba, elfu mbili na kumi na tano hiyooooo.... Haiko mbali....
 
IMG_2261.JPG

Oooh! CHADEMA ni chma cha Wachaga haya sasa semeni hapa ni sehemu huko Kilimanjaro

Siasa za uongo hazina muda mrefu Ninchokiona hapa ni Chama kuenea zaidi mikoa ya Nyanda za kusini kuliko huko kaskazini huu ndiyo ukweli wakuu

Hongera sana Chadema, hongera sana watu wa mikoa ya nyanda za juu kusini " NAWAPENDA SANA "
 
una uhakika gani huo mstari ulikuwa wa kwenda kununua kadi na sio kugawiwa sukari? lete picha wakipokea kadi!!

CDM hanafuata sheria na hawana danganya danganya kama ya ccm ya kugawa ubwabwa kwenye kampeni, viva cdm
 
Kazi ya Mbunge ni kugawa kadi! Iringa mjini mmeliwa ile Mbaya! Hamna Mbunge kabisa!

wapi ndo wana mbunge? Huko kwa ana makinda ndo wanambunge ambae kaona hatoweza kutajirika kupitia ubunge na sasa anataka aende kufanyia kazi alichokisomea? Nani alimdanganya ubunge siyo kujitolea bali ni kusaka utajiri
 
au kazi ya Mbunge ni kugawa Kanga na Tshirt za kijani na njano????
unasikia mkuu,hawajamaa mm huwasiwaelewi,unajua niudharirishaji,ivi nibora mtu kumpa nini kofia na tshert au suruali?? Mimi hadi leo sijua wanamaana gani hawa magamba??
 
IMG_2261.JPG

Oooh! CHADEMA ni chma cha Wachaga haya sasa semeni hapa ni sehemu huko Kilimanjaro

Siasa za uongo hazina muda mrefu Ninchokiona hapa ni Chama kuenea zaidi mikoa ya Nyanda za kusini kuliko huko kaskazini huu ndiyo ukweli wakuu

Hongera sana Chadema, hongera sana watu wa mikoa ya nyanda za juu kusini " NAWAPENDA SANA "

subiri 2015 ndio utajua ni nichawachaga au niya watanzania walioporwa raslimari zao nasasa wanataabika kwa kukosa hakizao za kisheria,matibabu,shule,kupanda kwa bei,mlo mmoja kwa siku!.....
 
IMG_2261.JPG

Oooh! CHADEMA ni chma cha Wachaga haya sasa semeni hapa ni sehemu huko Kilimanjaro

Siasa za uongo hazina muda mrefu Ninchokiona hapa ni Chama kuenea zaidi mikoa ya Nyanda za kusini kuliko huko kaskazini huu ndiyo ukweli wakuu

Hongera sana Chadema, hongera sana watu wa mikoa ya nyanda za juu kusini " NAWAPENDA SANA "

Ukiona mtu yeyote anatangaza udini,ukabila na rangi huyo ni mtu aliyefilisika sera kichwani,Mwalimu aliwaita kwa jina zuri ni WAPUMBAVU,wameleta propaganda za udini zimeshndwa,ukabila zimeshndwa!sasa hawana jipya!
 
daah siamini!! Iringa nayoijua mimi ya enzi za akina mngai,tuntemeke sanga,leo imekuwa hivi!hongereni sana Wanacdm,tukopamoja mashambulizi hayo yasambae mkoa wa iringa hadi Njombe!viva CHADEMA VIVAAAAAAA!

Oooh..mbona wameshafika huko hadi mama spika kaipata harufu yake anajihadhari mapema hatogembea tena ubunge, ule mkutano aliofanya jimboni kwake TBC walionyesha hakuna hata watu kakusanya ndugu zake wanamsikiliza...CCM hawana jipya
 
Back
Top Bottom