Recent content by njujujr

  1. njujujr

    JamiiForums Tanzania Urusi na China ni hatari kwa usalama wa Dunia

    Ukiwaeleza hili hata kusoma ulichoandika hawataki
  2. njujujr

    JamiiForums Tanzania Joe Biden ameshindwa kuvaa viatu vya Trump?

    Huna akili huelewi kilichoandikwa
  3. njujujr

    JamiiForums Tanzania Nimeanza kujifunza code

    Habari zenu humu mm nimehitimu diploma ya Computer science kwa mwaka sasa nilikuwa najiuliza kila kitu ni kipi nakipenda na nikawa navutiwa sana na maandishi yanayo husu code kudesign website na app developer. Nimekuwa napenda kufatilia tutorials mbali mbali you tube kujifunza kwa wiki mbili...
  4. njujujr

    JamiiForums Tanzania S 400 ya urusi na IRONE DOME ya Israel

    Ukiwaangalia hao waisraeli wazungu kabisa aisee
  5. njujujr

    JamiiForums Tanzania Maadui walioizunguka Israel wako zaidi ya million 500 ni nini kinachowashinda kuifuta Israel?

    USA na ulaya ndiyo wanayoiweka hiyo israel mashariki ya Kati kulinda masrahi tu hakuna kitu
  6. njujujr

    JamiiForums Tanzania Maadui walioizunguka Israel wako zaidi ya million 500 ni nini kinachowashinda kuifuta Israel?

    Kichaa mmoja kuendelea kuamini ukiliombea taifa la Israeli unabalikiwa
  7. njujujr

    JamiiForums Tanzania S 400 ya urusi na IRONE DOME ya Israel

    Mmarekani alimpiga vita uturuki kununua s400
  8. njujujr

    JamiiForums Tanzania S 400 ya urusi na IRONE DOME ya Israel

    Ndiyo maana alimpiga vita uturuki kununua S 400 kumbe wanazijua balaa lake huko siria nasikia ilikuwa hakikatizi kitu
  9. njujujr

    JamiiForums Tanzania S 400 ya urusi na IRONE DOME ya Israel

    Nimeelewa hii kubwa sana shukrani
  10. njujujr

    JamiiForums Tanzania Jinsi Eric Shigongo alivyojiunga Chuo Kikuu akiwa na elimu ya msingi

    Haya ni madhara ya kutopenda kusoma umesoma mwanzo umerukia mwisho rudia kusoma hatuna haja ya kukueleza
  11. njujujr

    JamiiForums Tanzania S 400 ya urusi na IRONE DOME ya Israel

    Kwa jinsi mambo yanavyoendelea kuumana huko kwa mahasimu wawili Israel vs Palestine natamani nijue ipi security system bora dhidi ya mashambulizi ya angani kwa wajuzi wa mambo?
  12. njujujr

    JamiiForums Tanzania Kenya imecheza sana ujasusi wa kiuchumi dhidi ya Tanzania. Should this necessarily be "quid pro quo"?

    Huwezi kuwakwepa kwa njia yeyote kwenye ustawi wa taifa na pia kiulinzi na usalama nchi yeyote vyombo vya ulinzi kama Tiss ndiyo wenye jukumu la kuishauri selikari ktk kuenda mbele iwe kwa njia hata ya kufanya ujasusi kwenye nchi nyingine ukiona nchi inafeli ktk uchumi,kisiasa na ulinzi ujue...
  13. njujujr

    JamiiForums Tanzania Prof Assad: Utawala wa Magufuli haukuwa na Nia njema na taifa letu

    Ww kwa iq ipi ww ulio nayo kichwa maji
  14. njujujr

    JamiiForums Tanzania Ulinzi na usalama

    Unaangalia muvi imetafsiliwa unajifunza nn huko
Back
Top Bottom