Wachina wamejaaa kariakoo wanawauzia viatu simple vya wakinadada, hakika wanawapenda sana.Jana Rais wa Marekani Joe Biden kampigia simu Rais wa Ukraine na kumweleza kuwa awe na amani na asihofu vitisho vya Urusi baada ya Urusi kuweka vikosi vya kijeshi kwenye mpaka wa Ukraine, Rais Joe Biden aliahidi kuilinda Ukraine endapo Urusi itaivamia.
Masaa machache baadaye,NATO pia iliionya Urusi isijaribu kufanya uvamizi wowote kwa Ukraine,kwani itaingilia Kati kijeshi.
Urusi ilijibu kwa kiburi sana kuwa itaivamia Ukraine endapo itaona inafaa kufanya hivyo.
Hayo yametokea wakati Dunia ikiwa kimya mauaji ya kishenzi na kikatili yakiendelea Myanmar baada ya Serikali halali iliyochaguliwa Kidemokrasia kupinduliwa, wananchi wa Myanmar wanaandamana Taifa zima kudai Rais wao mwanamama Aung Su Kyi anayeshikiliwa na jeshi aachiwe huru,mamia ya watu wameuawa Myanmar.
Msako wa nyumba hadi nyumba unafanyika ktk Taifa hilo ili kuwaua na kuwafunga watu wote wanaopinga mapinduzi hayo.
Duru za kijasusi zinadai kuwa China ndo inafadhili Serikali haramu iliyofanya mapinduzi.
Wakati huo huo, Urusi nayo inadaiwa kufadhili vikundi vya waasi Central Africa .
Urusi na China ni mataifa makubwa yasiyokuwa na msaada wowote,ni mataifa adui wa Demokrasia na haki za Binadamu.
Pamoja na kuwa Marekani ina mapungufu yake,lakini ni Taifa lenye utu na huruma Tofauti kabisa na Urusi na China.
Urusi iliivamia Cremea na kuichukua kwa nguvu kutoka Ukraine, sasa hivi tena inajiandaa kuivamia Ukraine.
Urusi na China ndo mataifa yanayopendwa na Serikali za kidikteta Duniani kwa sababu huzilinda Serikali hizo kwa manufaa yao hata kama zinaua watu wake wote.
Hayati Saddam Hussein, alikuwa kipenzi cha Marekani pamoja na Udikteta wake,lakini alipoua Wakurd 5,000 kwa sumu na kuivamia Kuwait,wakamgeuka na kumtoa kwa nguvu.
Ni wapi mliona Urusi au China zikipeleka majeshi au misaada kwa nchi zenye shida Duniani?
Yaani hayo ni mataifa selfish na katili hasa,hayana ubinadamu hata kidogo.
Endapo Urusi itaivamia Ukraine,safari hii Marekani haitavumilia Kama ilivyovumilia wakati Urusi ilipoivamia Georgia.
Hii itaweza ku spark vita ya Tatu ya Dunia.
Myanmar ni Taifa la watu wenye nasaba na China,huko wameuawa hadi watoto wadogo kwa risasi, China inao uwezo wa kuzuia mauaji Myanmar lakini haifanyi hivyo kwa sababu ni Taifa katili lisilo na utu.
Urusi na China ni mataifa hatari kwa usalama wa Dunia.
Naunga mkono hoja we angalia tu afya ya mtumishi ambae bosi wake ni MMAREKANI alafu nenda kaangalie afya ya mtumishi boss wake ni mhindi,mrusi au mchina.Kuna wazungu makatili. Ila Mzungu ni mtu aliye tayari kukosana na Mzungu mwenzake anayefanya Ukatili na uvunjifu wa haki ili kumtetea victim.
Suala hili huwezi kuliona kwa mchina, mwarabu, mhindi wala mrusi.
Jana Rais wa Marekani Joe Biden kampigia simu Rais wa Ukraine na kumweleza kuwa awe na amani na asihofu vitisho vya Urusi baada ya Urusi kuweka vikosi vya kijeshi kwenye mpaka wa Ukraine, Rais Joe Biden aliahidi kuilinda Ukraine endapo Urusi itaivamia.
Masaa machache baadaye,NATO pia iliionya Urusi isijaribu kufanya uvamizi wowote kwa Ukraine,kwani itaingilia Kati kijeshi.
Urusi ilijibu kwa kiburi sana kuwa itaivamia Ukraine endapo itaona inafaa kufanya hivyo.
Hayo yametokea wakati Dunia ikiwa kimya mauaji ya kishenzi na kikatili yakiendelea Myanmar baada ya Serikali halali iliyochaguliwa Kidemokrasia kupinduliwa, wananchi wa Myanmar wanaandamana Taifa zima kudai Rais wao mwanamama Aung Su Kyi anayeshikiliwa na jeshi aachiwe huru,mamia ya watu wameuawa Myanmar.
Msako wa nyumba hadi nyumba unafanyika ktk Taifa hilo ili kuwaua na kuwafunga watu wote wanaopinga mapinduzi hayo.
Duru za kijasusi zinadai kuwa China ndo inafadhili Serikali haramu iliyofanya mapinduzi.
Wakati huo huo, Urusi nayo inadaiwa kufadhili vikundi vya waasi Central Africa .
Urusi na China ni mataifa makubwa yasiyokuwa na msaada wowote,ni mataifa adui wa Demokrasia na haki za Binadamu.
Pamoja na kuwa Marekani ina mapungufu yake,lakini ni Taifa lenye utu na huruma Tofauti kabisa na Urusi na China.
Urusi iliivamia Cremea na kuichukua kwa nguvu kutoka Ukraine, sasa hivi tena inajiandaa kuivamia Ukraine.
Urusi na China ndo mataifa yanayopendwa na Serikali za kidikteta Duniani kwa sababu huzilinda Serikali hizo kwa manufaa yao hata kama zinaua watu wake wote.
Hayati Saddam Hussein, alikuwa kipenzi cha Marekani pamoja na Udikteta wake,lakini alipoua Wakurd 5,000 kwa sumu na kuivamia Kuwait,wakamgeuka na kumtoa kwa nguvu.
Ni wapi mliona Urusi au China zikipeleka majeshi au misaada kwa nchi zenye shida Duniani?
Yaani hayo ni mataifa selfish na katili hasa,hayana ubinadamu hata kidogo.
Endapo Urusi itaivamia Ukraine,safari hii Marekani haitavumilia Kama ilivyovumilia wakati Urusi ilipoivamia Georgia.
Hii itaweza ku spark vita ya Tatu ya Dunia.
Myanmar ni Taifa la watu wenye nasaba na China,huko wameuawa hadi watoto wadogo kwa risasi, China inao uwezo wa kuzuia mauaji Myanmar lakini haifanyi hivyo kwa sababu ni Taifa katili lisilo na utu.
Urusi na China ni mataifa hatari kwa usalama wa Dunia.
Napingana na wewe kabisaa, marekani ndio washenzi waliopitiliza, China na Russia wanalijua hilo, angalia vita nyingi duniani chanzo ni wao kutaka mali kwa nguvu au wanachongasha ili wauze silaha.Jana Rais wa Marekani Joe Biden kampigia simu Rais wa Ukraine na kumweleza kuwa awe na amani na asihofu vitisho vya Urusi baada ya Urusi kuweka vikosi vya kijeshi kwenye mpaka wa Ukraine, Rais Joe Biden aliahidi kuilinda Ukraine endapo Urusi itaivamia.
Masaa machache baadaye,NATO pia iliionya Urusi isijaribu kufanya uvamizi wowote kwa Ukraine,kwani itaingilia Kati kijeshi.
Urusi ilijibu kwa kiburi sana kuwa itaivamia Ukraine endapo itaona inafaa kufanya hivyo.
Hayo yametokea wakati Dunia ikiwa kimya mauaji ya kishenzi na kikatili yakiendelea Myanmar baada ya Serikali halali iliyochaguliwa Kidemokrasia kupinduliwa, wananchi wa Myanmar wanaandamana Taifa zima kudai Rais wao mwanamama Aung Su Kyi anayeshikiliwa na jeshi aachiwe huru,mamia ya watu wameuawa Myanmar.
Msako wa nyumba hadi nyumba unafanyika ktk Taifa hilo ili kuwaua na kuwafunga watu wote wanaopinga mapinduzi hayo.
Duru za kijasusi zinadai kuwa China ndo inafadhili Serikali haramu iliyofanya mapinduzi.
Wakati huo huo, Urusi nayo inadaiwa kufadhili vikundi vya waasi Central Africa .
Urusi na China ni mataifa makubwa yasiyokuwa na msaada wowote,ni mataifa adui wa Demokrasia na haki za Binadamu.
Pamoja na kuwa Marekani ina mapungufu yake,lakini ni Taifa lenye utu na huruma Tofauti kabisa na Urusi na China.
Urusi iliivamia Cremea na kuichukua kwa nguvu kutoka Ukraine, sasa hivi tena inajiandaa kuivamia Ukraine.
Urusi na China ndo mataifa yanayopendwa na Serikali za kidikteta Duniani kwa sababu huzilinda Serikali hizo kwa manufaa yao hata kama zinaua watu wake wote.
Hayati Saddam Hussein, alikuwa kipenzi cha Marekani pamoja na Udikteta wake,lakini alipoua Wakurd 5,000 kwa sumu na kuivamia Kuwait,wakamgeuka na kumtoa kwa nguvu.
Ni wapi mliona Urusi au China zikipeleka majeshi au misaada kwa nchi zenye shida Duniani?
Yaani hayo ni mataifa selfish na katili hasa,hayana ubinadamu hata kidogo.
Endapo Urusi itaivamia Ukraine,safari hii Marekani haitavumilia Kama ilivyovumilia wakati Urusi ilipoivamia Georgia.
Hii itaweza ku spark vita ya Tatu ya Dunia.
Myanmar ni Taifa la watu wenye nasaba na China,huko wameuawa hadi watoto wadogo kwa risasi, China inao uwezo wa kuzuia mauaji Myanmar lakini haifanyi hivyo kwa sababu ni Taifa katili lisilo na utu.
Urusi na China ni mataifa hatari kwa usalama wa Dunia.
Pole USA baba lao wengine mguu sawaUrusi anafanya mazoez ya kijesh ndan ya nchi yake NATO wanaona hayo mazoez sawa na uchokoz wakaahid kupeleka jesh Ukraine Urusi akawatahadharisha kuwa kitendo cha kupeleka majesh ndan ya ukrain huo ni uchokoz ambao yey ataujibu mwishowe NATO na USA wanaanza kulalama.
Hakuna mwenye afadhali katika hao wote wapo kwa maslah yao,Marekani wameua watu wengi zaidi Duniani kuliko hao Urusi na China,Dunia leo hii imekuwa sio salama kwa sababu ya Marekani kuanzia Uarabuni,Asia mpaka Afrika.dunia yoye iungane kuzifuta hina na Urusi hasa watawala wake...... how? mtihani uko hapo
Umeongea ukweli mtupu. Haya mataifa ni hatari sana kuliko mashetani. Wanasubiri uwe na mgogoro wakusaidie siraha hata kama utaua raia wako wao hawajali.Jana Rais wa Marekani Joe Biden kampigia simu Rais wa Ukraine na kumweleza kuwa awe na amani na asihofu vitisho vya Urusi baada ya Urusi kuweka vikosi vya kijeshi kwenye mpaka wa Ukraine, Rais Joe Biden aliahidi kuilinda Ukraine endapo Urusi itaivamia.
Masaa machache baadaye,NATO pia iliionya Urusi isijaribu kufanya uvamizi wowote kwa Ukraine,kwani itaingilia Kati kijeshi.
Urusi ilijibu kwa kiburi sana kuwa itaivamia Ukraine endapo itaona inafaa kufanya hivyo.
Hayo yametokea wakati Dunia ikiwa kimya mauaji ya kishenzi na kikatili yakiendelea Myanmar baada ya Serikali halali iliyochaguliwa Kidemokrasia kupinduliwa, wananchi wa Myanmar wanaandamana Taifa zima kudai Rais wao mwanamama Aung Su Kyi anayeshikiliwa na jeshi aachiwe huru,mamia ya watu wameuawa Myanmar.
Msako wa nyumba hadi nyumba unafanyika ktk Taifa hilo ili kuwaua na kuwafunga watu wote wanaopinga mapinduzi hayo.
Duru za kijasusi zinadai kuwa China ndo inafadhili Serikali haramu iliyofanya mapinduzi.
Wakati huo huo, Urusi nayo inadaiwa kufadhili vikundi vya waasi Central Africa .
Urusi na China ni mataifa makubwa yasiyokuwa na msaada wowote,ni mataifa adui wa Demokrasia na haki za Binadamu.
Pamoja na kuwa Marekani ina mapungufu yake,lakini ni Taifa lenye utu na huruma Tofauti kabisa na Urusi na China.
Urusi iliivamia Cremea na kuichukua kwa nguvu kutoka Ukraine, sasa hivi tena inajiandaa kuivamia Ukraine.
Urusi na China ndo mataifa yanayopendwa na Serikali za kidikteta Duniani kwa sababu huzilinda Serikali hizo kwa manufaa yao hata kama zinaua watu wake wote.
Hayati Saddam Hussein, alikuwa kipenzi cha Marekani pamoja na Udikteta wake,lakini alipoua Wakurd 5,000 kwa sumu na kuivamia Kuwait,wakamgeuka na kumtoa kwa nguvu.
Ni wapi mliona Urusi au China zikipeleka majeshi au misaada kwa nchi zenye shida Duniani?
Yaani hayo ni mataifa selfish na katili hasa,hayana ubinadamu hata kidogo.
Endapo Urusi itaivamia Ukraine,safari hii Marekani haitavumilia Kama ilivyovumilia wakati Urusi ilipoivamia Georgia.
Hii itaweza ku spark vita ya Tatu ya Dunia.
Myanmar ni Taifa la watu wenye nasaba na China,huko wameuawa hadi watoto wadogo kwa risasi, China inao uwezo wa kuzuia mauaji Myanmar lakini haifanyi hivyo kwa sababu ni Taifa katili lisilo na utu.
Urusi na China ni mataifa hatari kwa usalama wa Dunia.
Sikiliza nikupe ukweli;USA ni hatari zaidi kuliko CHINA na URUSI. ALL in ALL mabeberu wanajali sana MASLAHI yao kuliko hasara utakayopata wewe hata kama ni gharama ya kupoteza maisha ya wengine
Ukiwaeleza hili hata kusoma ulichoandika hawatakiKumbuka walichofanya LIBYA, IRAQ. Hadi leo wananchi wa nchi hizo hakuna amani, ni vifo kila kukicha kwa kulipuana mabomu. Hakuna nchi ya ajabu na hovyo kama USA
My son,hujui Dunia inavyo endeshwa,nadhani ingekuwa busara ukanyamaza.Upo mpango wa kuleta utawala wa serikali moja duniani,ambapo hayo mataifa yote uliyataja ni wabia.Kwa bahati mbaya wamefanikiwa sana kuidanganya Dunia kwamba wako tofauti na ni maadui,lakini in reality sio.Hata Vatican imo katika mpango huo mchafu na muovu kabisa.Unayoyaona yote ni mikakati ya kuelekea huko.Make no mistake about it, wapo kwenye hatua za mwisho kabisa za kutekeleza mpango wao huo,na kama yupo mtu anayedhani humanity and the World is safe,yupo very mistaken and misinformed na anajidanganya kweli kweli.Humanity has never been in such uncertain,dangerous and precarious times.Jana Rais wa Marekani Joe Biden kampigia simu Rais wa Ukraine na kumweleza kuwa awe na amani na asihofu vitisho vya Urusi baada ya Urusi kuweka vikosi vya kijeshi kwenye mpaka wa Ukraine, Rais Joe Biden aliahidi kuilinda Ukraine endapo Urusi itaivamia.
Masaa machache baadaye,NATO pia iliionya Urusi isijaribu kufanya uvamizi wowote kwa Ukraine,kwani itaingilia Kati kijeshi.
Urusi ilijibu kwa kiburi sana kuwa itaivamia Ukraine endapo itaona inafaa kufanya hivyo.
Hayo yametokea wakati Dunia ikiwa kimya mauaji ya kishenzi na kikatili yakiendelea Myanmar baada ya Serikali halali iliyochaguliwa Kidemokrasia kupinduliwa, wananchi wa Myanmar wanaandamana Taifa zima kudai Rais wao mwanamama Aung Su Kyi anayeshikiliwa na jeshi aachiwe huru,mamia ya watu wameuawa Myanmar.
Msako wa nyumba hadi nyumba unafanyika ktk Taifa hilo ili kuwaua na kuwafunga watu wote wanaopinga mapinduzi hayo.
Duru za kijasusi zinadai kuwa China ndo inafadhili Serikali haramu iliyofanya mapinduzi.
Wakati huo huo, Urusi nayo inadaiwa kufadhili vikundi vya waasi Central Africa .
Urusi na China ni mataifa makubwa yasiyokuwa na msaada wowote,ni mataifa adui wa Demokrasia na haki za Binadamu.
Pamoja na kuwa Marekani ina mapungufu yake,lakini ni Taifa lenye utu na huruma Tofauti kabisa na Urusi na China.
Urusi iliivamia Cremea na kuichukua kwa nguvu kutoka Ukraine, sasa hivi tena inajiandaa kuivamia Ukraine.
Urusi na China ndo mataifa yanayopendwa na Serikali za kidikteta Duniani kwa sababu huzilinda Serikali hizo kwa manufaa yao hata kama zinaua watu wake wote.
Hayati Saddam Hussein, alikuwa kipenzi cha Marekani pamoja na Udikteta wake,lakini alipoua Wakurd 5,000 kwa sumu na kuivamia Kuwait,wakamgeuka na kumtoa kwa nguvu.
Ni wapi mliona Urusi au China zikipeleka majeshi au misaada kwa nchi zenye shida Duniani?
Yaani hayo ni mataifa selfish na katili hasa,hayana ubinadamu hata kidogo.
Endapo Urusi itaivamia Ukraine,safari hii Marekani haitavumilia Kama ilivyovumilia wakati Urusi ilipoivamia Georgia.
Hii itaweza ku spark vita ya Tatu ya Dunia.
Myanmar ni Taifa la watu wenye nasaba na China,huko wameuawa hadi watoto wadogo kwa risasi, China inao uwezo wa kuzuia mauaji Myanmar lakini haifanyi hivyo kwa sababu ni Taifa katili lisilo na utu.
Urusi na China ni mataifa hatari kwa usalama wa Dunia.
Hizi imani zinafupisha uwezo wenu wa kufikiriHujui Dunia inavyo endeshwa,nadhani ingekuwa bora ukanyamaza.Upo mpango wa kuleta utawala wa serikali moja duniani ambapo hayo mataifa yote uliyataja ni wabia.Kwa bahati mbaya wamefanikiwa kuidanganya Dunia kwamba wako tofauti na ni maadui,lakini in reality sio.Hata Vatican imo katika mpango huo mchafu na muovu kabisa.Unayoyaona yote ni mikakati ya kuelekea huko.Make no mistake about it wapo kwenye hatua za mwisho kabisa,na kama yupo mtu anayedhani humanity and the World is sfee,yupo very misinformed na anajidanganya kweli kweli.Humanity has never been in such uncertain,dangerous and precarious times.
Sisi ndio wenye uwezo wa kufikiri,kwa kuwa hatuamini kila tunalo ambiwa.Wewe unaye swallow everything ndiye mbumbu,isn't that obvious?Umepewa akili mkuu,dadavua mambo kwa kina.Hivi seriously unaona Dunia Ilivyo ni sawa?Hizi imani zinafupisha uwezo wenu wa kufikiri
Nashangaa... USA & Washirika wake wameivuruga sana amani ya Dunia lakini leo hii Russia ndo analaaniwa vikali kama hivi.Ikiwa kwao ni sawa ikiwa kwingine ni uvunjifu wa demokrasia na haki za binadamu
USA [emoji41][emoji41][emoji41]
Facts...Kumbuka walichofanya LIBYA, IRAQ. Hadi leo wananchi wa nchi hizo hakuna amani, ni vifo kila kukicha kwa kulipuana mabomu. Hakuna nchi ya ajabu na hovyo kama USA