Nimeanza kujifunza code

njujujr

JF-Expert Member
Dec 29, 2017
682
500
Habari zenu humu mm nimehitimu diploma ya Computer science kwa mwaka sasa nilikuwa najiuliza kila kitu ni kipi nakipenda na nikawa navutiwa sana na maandishi yanayo husu code kudesign website na app developer.

Nimekuwa napenda kufatilia tutorials mbali mbali you tube kujifunza kwa wiki mbili sasa najua itanichukua muda hata miaka mwili.

Naomba ushauri kama kuna lolote la kupitia katika taaluma hii ni kipi uzuri na idea kidogo na kutokana na nilichosomea.

Ushauri wenu wajuzi zipi changamoto zilizopo katika fani hii.
 
Flowerpot

Member
Aug 30, 2021
25
75

Vizuri sema ulitakiwa ushtuke mapema. Wengine wanaanza wanapokua mwaka wa kwanza kabisa certificate, pale wanapopata msingi wa c++. Ila sio mbaya komaa.
 
Kuchwizzy

JF-Expert Member
Oct 1, 2019
818
1,000
Braza, umehitimu Diploma ya Computer science au ndio unaanza kujifunza Coding?
 
Tangantika

JF-Expert Member
Aug 12, 2018
3,060
2,000
Hii dunia hii, wengine tunatoka tunaachana na computer wengine ndo wanaanza
Kwa nini, hailipi,ngumu, ina bore, inamadhara?
Tueleze kwa nini umeachana na computer wakati ndio kifaa kilicho karibu na binadamu zaidi na kinamsaidia kila mda hata elimu haiendi bila kompyuta.
Je umramua kuwa mkuloma au nani?
 
Chaliifrancisco

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
17,803

Kwahiyo kama wewe unaachana na computer unataka wote tuache sio?

Mleta mada kula kitabu jifunze sana utatoboa tu usikatishwe tamaa na maneno ya mtandaoni. Sio vibaya ulivyoleta mada hii lakini jua tu kuwa kuna watakao kukatisha tamaa na watakao ku support.

Do not feed on the negative energy.
 
Cybergates

JF-Expert Member
Dec 2, 2016
467

Dhu yani watanzania ni changamoto, hadi mtu ukistaafu wanataka maelezo
 
Umesema unastaafu? Mkuu kwa jinsi ulivyoandika comment yako inaleta picha kuwa labda kufanya coding hailipi ndio maana unaacha na ndio maana unamshangaa mleta mada kuingia sehemu ambayo wewe ndio unaondoka.

So next time angalia namna ya uwasilishaji wako. Otherwise kila la heri babu yangu, enjoy pension yako.
 
Shukuran
 
Tangantika

JF-Expert Member
Aug 12, 2018
3,060
2,000
Dhu yani watanzania ni changamoto, hadi mtu ukistaafu wanataka maelezo
Umesema umeacha huja staafu. Kumbuka kuna mtu anataja kujifunza.Vinginevyo hutakuwa mkweli, unafurahisha uzi.
Kana ni mbobezi kweli ungesema chochote kuhusu hii career.
Hili jukwaa halijakas ki proffesional bali kidhhaki dhihaki tu.
 
Tangantika

JF-Expert Member
Aug 12, 2018
3,060
2,000
Kwahiyo kama wewe unaachana na computer unataka wote tuache sio?

Mleta mada kula kitabu jifunze sana utatoboa tu usikatishwe tamaa na maneno ya mtandaoni. Sio vibaya ulivyoleta mada hii lakini jua tu kuwa kuna watakao kukatisha tamaa na watakao ku support.

Do not feed on the negative energy.
Vyuo vikuu dunia nzima vinadahili wanafunzi fresh student yeye analeta porojo tu bila sababu za msingi.
Katija career development theories moja ya fact ni kwamba caree are dynamic, people move from one career to another. ni Jambo la kawaida kabisa watu kuachana na kazi fulani, afteral ndugu zake na rafiku zake ndio wanajua kuwa yeye kaacha hio kazi sasa anataka tujue eti kaacha hio kazi wakati tulikuwa hatujui kama anafanya hio kazi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom