Waliogiza hii filamu ni wazungu au wahindi ama wachina..??Kama unataka kuwa jasusi moja matata huna budi kuifutilia season ya SOZ
Bonge ya season mzee nawashauri maafisa usalama wawe wanapata muda w a kufuatlia muvi kama hizi very relevant to the society. And inteligent
View attachment 1748556
Mtu mzima hatumii neno ''my foot'' huwa ni wadada ndio wanapenda kulitumiaSeason my foot! Ndo mnapoishiaga nyie vijana akili za kushinda kwenye TV tu