Mimi namuunga mkono Joe Biden, kwa sasa dunia haihitaji vita ya tatu, tunahitaji amani na peaceful resolutions kwa migogoro kama hiyo ya Ukraine na Russia
Vita inaumiza,inarudisha nyuma, inawatesa na kuua wasio na hatia, sidhani kama ndio tunachokihitaji kwa sasa
Tuombe amani itawale maisha yaendelee la sivyo hiyo vita ikitokea huko itatuathiri hata sisi tena kwa kiasi kikubwa, imagine mmarekani nae anaingia vitani kitakachofuata ni silaha za maangamizi ambazo zitagharimu maisha ya viumbe vyote duniani
Mrusi yeye hana cha kupoteza, kutumia Nuclea ni dakika, na target yake kubwa ni Marekani, the good thing ni kwamba marekani hajakubali kuingia kwenye huo mtego ambao ungegharimu maisha ya wengi duniani