Recent content by NJUGHU

  1. NJUGHU

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nimelipoa Gharama za kubeba nguzo kuja eneo langu toka December 2021 mpaka sasa napigiwa danadana, tatizo nini? Sijatoa cash ila nimelipa kwa akaunti ya benki
  2. NJUGHU

    Mfumuko wa bei ni tishio kwa maisha ya Watanzania

    Wachoyo,omba sasa isitokee kanda ya ziwa,utasumbukiwa samaki wakati wao hata hao wadudu wa baharini hawaji nao
  3. NJUGHU

    CHADEMA walisema TRA wanakusanya malimbikizo (Arrears) baada ya miaka minne wameumbuka

    Uko Sawa hii inahitaji kuwa Na elimu ya accounting. Tax huwa percentage ya profit au income from inning ( PAYEE) Sent using Jamii Forums mobile app
  4. NJUGHU

    Kuna haja ya Jamii Forum Kutenga au kufilter forum kutokana Na muda mchangiaji Aliye jiunga

    Napendekeza hii hoja maana kuna wachangiaji wanapoteza kabisa umakini wa jukwaa hili lilokuwa bora lenye magreat thinkers. Ukiangalia wachangiaji wanao haribu ni wale waliojiunga 2019. Uchangiaji usio jibu hoja au kuchangia hoja kwa hoja Bali vijembe na ushabiki wa kiaiasa . Ni wazo tu naomba...
  5. NJUGHU

    Maelfu ya wasaka wahanga wa ajira kada mbalibali upinzani chukueni dola kupita hili

    Tatizo si ajira Bali ni mfumo wa elimu hauwaandai wahitimu kujiajiri ,leo ukimuuliza mhitimu mtaji huu hapa hana cha kufanya,wengi wanaandaliwa kuwa mabosi na wafanyakazi tu.Na elimu inayotolewa haizingatii soko la ajira Na mahitaji halisi. Mfano unaandaa ma- IT 2000 wakati soko linahitaji 200...
  6. NJUGHU

    WAZIRI WA ELIMU HILI UNALIJUA?

    Msimu wa usajili wa wanafunzi wa darasa la saba kuingia shule binafsi au za mashirika ya dini umeungia Na ndio msimu mzuri wa biashara ila sasa umefikia kiwango cha kuwaumiza wazazi. Wazazi sasa wanauziwa fomu za kujiandikisha kufanya mitihani Na kuchangia si pungufu ya elfu kumi. Watoto...
  7. NJUGHU

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Habarini wanajamvi,NMB mmekuwa mkitoa mikopo lakini kuna kitu huwa hakiwi Na maelezo,hivi processing fee Na insurance huwa ni asilimia ngapi maana hamtufafanulii Wateja mpaka kuhisi tunapigiwa humo.
  8. NJUGHU

    Rais Magufuli amlipia Tsh milioni 5 mama aliyefiwa na mama mzazi Hospitali ya Muhimbili

    Ni kweli,swala ni mfumo mzima uangaliwe upya,kama hiyo ni hospital ya nchi ambayo ni jicho la nchi ipo hivyo ,je huko mikoani? Hapo mheshimiwa amepata hali halisi,Na bahati amewalipia majeruhi matibabu,wengine wasingetoka kwa kushindwa kulipa gharama
  9. NJUGHU

    Kwa mujibu wa Waziri wa fedha, wastani wa pato la mtanzania kwa siku ni Tsh. elfu sita, je hii inatosha mahitaji? Bei ya nyama,mkaa,pango,sukari....?

    Hii kukuwa kwa kipato ndani ya miaka 3,sijui watumishi wameongezewa mshahara! Au wao si wananchi? Hali ya maisha japo raia wanajibana lakini hali bado ngumu. Hii haingii akililini?
  10. NJUGHU

    Profesa Kabudi Paramagamba, kivuli cha unafiki

    Bahati mbaya magenius ndio wanafeli maisha zaidi ya kupata mshahara,hawafikirii nje ya box
  11. NJUGHU

    Nimesoma Mkataba wa Wachina Bandari ya Bagamoyo, Tuna Viongozi wa Ajabu haijapata kutokea ! Tumshukuru Mungu kwa Hili

    Hapa naona tunakula pilau hatujui nani kafa tunaombolezaa,weka PDF kama ulivyoambiwa
  12. NJUGHU

    Rais yuko sahihi kutoongeza mshahara kwa sasa

    Swala la increment lipo kisheria
  13. NJUGHU

    Maishani tunaambiana kuwa yatupasa kukabiliana na japo unaloliogopa! Sema waogopa nini tuelezane namna ya kulikabili

    Naogopa sana hii miaka kumi .unaamka hujui kesho itakuwaje. . .mpaka grease imeisha!
  14. NJUGHU

    Us Embassy ya Tanzania wakutana na Zitto waahidi kufuatilia hali ya mbinyo wa Demokrasia nchini

    Dah,hii topic mbona imeshambuliwa Sana? Au ni MTU moja Mwenye ID nyingi? Maana hoja hazijatumika kujibu hoja au kuchangia .
  15. NJUGHU

    Hali sio mbaya kama inavyoenezwa kwenye mitandao!!

    Tena ungejua wapiga dili wanamaisha mazuri maana walijiwekea hazina ,ndio wenye nyumba nzuri,magari ya kutembelea zaidi ya moja! Hawa ndio tunapanga nyumba zao,tunapanda daladala zao na hata milango yao biashara tunapanga. Tutabaki tunajidanganya wanaona cha moto kumbe maskini ndio joto...
Back
Top Bottom