Umenikumbusha kishika uchumba mpaka leo tumekata keseni za kuendesha Noah lakini hata boda boda hatukupata mambo yametugeukia tena tunatakiwa kutoa 20,000/= kila kichwa eti za kitambulisho cha kuhangaikia maisha. Yule Niga hatari sana kwa jinsi alivyotudanganyaKuna Niga mmoja aliwasifia hawa wazungu kuwa ni wanaume wa kweli walipohaidi kulipa kishika uchumba cha accacia
Muacheni Kabudi..ni genious 💪 maneno tu hapa ila hamna anaecomment humu anaeweza simama na Kabudi kwa Hoja na Mifano HAI...acheni bana tena acheni kabisa.
Nawaangaliaga tu.
Aliyewasifia wazungu kuwa ni WANAUME na kuwa watatupa kishika uchumba ni nani?Ndo hapo hata wazungu wanatushangaa.
Dah. Mkuu umechambua vizuri sana. Nimeumia sanaAnaandika Dr Christopher Cyrilo
PROFESA KABUDI PARAMAGANDA, KIVULI CHA UNAFIKI.
Nimeona video ya mtu kama Profesa Kabudi Paramaganda anazungumza mbele ya watu wanaofanana na wabunge wa Tanzania, ndani ya jengo kama la Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, lakini maneno ya mtu huyo hayafanani na mtu mwenye wadhifa wa waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa – ni maneno mazuri yanayotoka kwenye kinywa kisichostahili.
Mtu huyo anasema hivi; Tanzania haitapiga magoti kuomba msaada popote – maneno mazuri kutoka kwa mtu asiyestahili.
Wakati huohuo Rais Magufuli yupo Namibia akiomba wawekezaji kutoka nchi hiyo ndogo iliyopo jangwani, ambayo ilisaidiwa kupata uhuru na Tanzania mwaka 1990 – miaka 29 baada ya uhuru wa Tanzania.
Wakati mtu huyo akiongea; yeye na wasikilizaji wake wamevaa suti au vitenge kutoka Dubai, viatu vya Italia, saa za Uswisi, mikanda na soksi kutoka Uchina, mifukoni wana simu za Korea kusini/China/Thailand au Marekani. Wakitoka hapo watapanda magari ya Mjapani wakisafiri hadi hotelini kula ‘Ugali – Ng’ombe’ wa Dodoma halafu wakimaliza wataomba vijiti vya kuchokolea meno – kutoka Kenya. Wakati wa kulala, watajifunika shuka ya India, na kabla ya kupata usingizi watakuwa wanafikiria kuhusu safari za nje- kupiga picha.
Kuna watu wanatumia neno uzalendo kama pazia la kuficha ‘ujinga’ uliojaa kwenye kauli zao; kwamba ukiongea pumba halafu ukasingizia uzalendo basi watu wenye uelewa mdogo wa mambo watakuona unaingea ‘pointi’ za msingi. Ni bahati mbaya kwamba, Mtu anayesema Tanzania haitapiga goti kuomba misaada, ndiye huyo aliyetumwa kwenda kulialia mbele ya wakuu wa nchi za Ulaya ili Tanzania isiwekewe vikwazo – na kukubali masharti. Kwa bahati mbaya, mtu anayesema Tanzania haitapiga goti kuomba msaada hana uwezo, na hakuwahi kuonesha hata dalili ya kuwa na uwezo wa kuisaidia Tanzania iondokane na misaada. Kwa bahati mbaya, mtu anayesema kwamba Tanzania haitapiga goti kuomba msaada hamaanishi, bali lengo lake hasa ni kuwasuta wapinzani wa chama chake. Watu wanagonga meza kusikia Tazania haitapiga magoti kuomba msaada – wakati wanaishi kwa vidonge vilivyotengenezwa Marekani, na wanapewa bure kwa hisani ya watu wa Marekani.
Binafsi, sina undugu na misaada, na kama watanzania wengi sitamani kuona nchi yangu inaendelea kuwa ombaomba – ingawa kwa sasa ndio hali halisi. lakini siwezi kuwaelewa watu waliotufanya tuwe ombaomba, wakijinasibu eti kuchukia hali hiyo, unafiki. Ni vema mtu kama Profesa Kabudi, na nduguze katika siasa za vyama, waoneshe njia, juhudi, mbinu kwa vitendo – kama wanaweza- kuwatoa watanzania kwenye hiyo hali ya kupiga magoti kuomba misaada badala ya kuongea kwa sauti kubwa na nzito ili tu wapate ‘credits’ kutoka kwa wapambe wao. Ukweli ni kwamba, mifumo ya dunia ya leo imebadilika sana, akili za akina Magufuli, Kabudi na wenzao haziwezi kututoa kwenye kutegemea misaada,kamwe.
Na ieleweke kwamba, kutamani kufikia hatua fulani ni kitu kimoja, na kuwa na uwezo wa kupiga hatua hiyo ni kitu kingine. Magufuli, Kabudi na wenzao wanaweza kuwa na tama ya kuitoa Tanzania kwenye hali ya kuwa Ombaomba, lakini hawajaonesha hata dalili za kuwa na uwezo wa kuwato Watanzania kwenye hali hiyo.
Wazee wenye mihemko ya kisisasa, au tamaa inayowazidi uwezo wa kufikiri, wasiojua kutofautisha cha kusema na cha kufanya – wahafidhinma wenye mawazo mgando wanaojitengenezea wenyewe maadui wa ndani na kuanza kupambana nawo kwa nguvu kubwa kuliko kupambana na umasikini – hawawezi kututoa kwenye matope ya misaada, hata warudie mara elfu kusema wanaichukia misaada, wameshindwa na wanaendelea kushindwa.
Kamanda! hivi aliwaita WANAUME au umewawaza tu WANAUME?Aliyewasifia wazungu kuwa ni WANAUME na kuwa watatupa kishika uchumba ni nani?
Kuomna watu kuja kuwekeza Nchini ni kuomba msaada? Wewe ni mbumbumbu plus au labda umelenga nyumbu wenu wa humu! Hiyo ni biashara bro!Anaandika Dr Christopher Cyrilo

Bahati mbaya magenius ndio wanafeli maisha zaidi ya kupata mshahara,hawafikirii nje ya boxMuacheni Kabudi..ni geniousmaneno tu hapa ila hamna anaecomment humu anaeweza simama na Kabudi kwa Hoja na Mifano HAI...acheni bana tena acheni kabisa.
Nawaangaliaga tu.
Nimesoma huko juu na kugundua Andiko lote litakua limejaa UPUMBAVU. Rais hajaomba msaada Namibia, Kaomba wawekezaji. Je huku ni kupiga magoti?Mtu akija kuwekeza hapa ndio kuomba Msaada?Umeleta story za simu,saa,nguo na mashuka nk kutoka nje. Je hivyo vitu vinakuja bure kama misaada?Hivi unaelewa maana ya Msaada?Unaketewa net au ARV na unaambiwa usaini makubaliano flani kuhusu madini na makampuni yao. Huo ni msaada au Biashara iliyojificha kwenye kivuli cha Msaada?Sikia,HAKUNA KITU KINAITWA MSAADA.Kama una AKILI TIMAMU utaelewa.Anaandika Dr Christopher Cyrilo
PROFESA KABUDI PARAMAGANDA, KIVULI CHA UNAFIKI.
Nimeona video ya mtu kama Profesa Kabudi Paramaganda anazungumza mbele ya watu wanaofanana na wabunge wa Tanzania, ndani ya jengo kama la Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, lakini maneno ya mtu huyo hayafanani na mtu mwenye wadhifa wa waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa – ni maneno mazuri yanayotoka kwenye kinywa kisichostahili.
Mtu huyo anasema hivi; Tanzania haitapiga magoti kuomba msaada popote – maneno mazuri kutoka kwa mtu asiyestahili.
Wakati huohuo Rais Magufuli yupo Namibia akiomba wawekezaji kutoka nchi hiyo ndogo iliyopo jangwani, ambayo ilisaidiwa kupata uhuru na Tanzania mwaka 1990 – miaka 29 baada ya uhuru wa Tanzania.
Wakati mtu huyo akiongea; yeye na wasikilizaji wake wamevaa suti au vitenge kutoka Dubai, viatu vya Italia, saa za Uswisi, mikanda na soksi kutoka Uchina, mifukoni wana simu za Korea kusini/China/Thailand au Marekani. Wakitoka hapo watapanda magari ya Mjapani wakisafiri hadi hotelini kula ‘Ugali – Ng’ombe’ wa Dodoma halafu wakimaliza wataomba vijiti vya kuchokolea meno – kutoka Kenya. Wakati wa kulala, watajifunika shuka ya India, na kabla ya kupata usingizi watakuwa wanafikiria kuhusu safari za nje- kupiga picha.
Kuna watu wanatumia neno uzalendo kama pazia la kuficha ‘ujinga’ uliojaa kwenye kauli zao; kwamba ukiongea pumba halafu ukasingizia uzalendo basi watu wenye uelewa mdogo wa mambo watakuona unaingea ‘pointi’ za msingi. Ni bahati mbaya kwamba, Mtu anayesema Tanzania haitapiga goti kuomba misaada, ndiye huyo aliyetumwa kwenda kulialia mbele ya wakuu wa nchi za Ulaya ili Tanzania isiwekewe vikwazo – na kukubali masharti. Kwa bahati mbaya, mtu anayesema Tanzania haitapiga goti kuomba msaada hana uwezo, na hakuwahi kuonesha hata dalili ya kuwa na uwezo wa kuisaidia Tanzania iondokane na misaada. Kwa bahati mbaya, mtu anayesema kwamba Tanzania haitapiga goti kuomba msaada hamaanishi, bali lengo lake hasa ni kuwasuta wapinzani wa chama chake. Watu wanagonga meza kusikia Tazania haitapiga magoti kuomba msaada – wakati wanaishi kwa vidonge vilivyotengenezwa Marekani, na wanapewa bure kwa hisani ya watu wa Marekani.
Binafsi, sina undugu na misaada, na kama watanzania wengi sitamani kuona nchi yangu inaendelea kuwa ombaomba – ingawa kwa sasa ndio hali halisi. lakini siwezi kuwaelewa watu waliotufanya tuwe ombaomba, wakijinasibu eti kuchukia hali hiyo, unafiki. Ni vema mtu kama Profesa Kabudi, na nduguze katika siasa za vyama, waoneshe njia, juhudi, mbinu kwa vitendo – kama wanaweza- kuwatoa watanzania kwenye hiyo hali ya kupiga magoti kuomba misaada badala ya kuongea kwa sauti kubwa na nzito ili tu wapate ‘credits’ kutoka kwa wapambe wao. Ukweli ni kwamba, mifumo ya dunia ya leo imebadilika sana, akili za akina Magufuli, Kabudi na wenzao haziwezi kututoa kwenye kutegemea misaada,kamwe.
Na ieleweke kwamba, kutamani kufikia hatua fulani ni kitu kimoja, na kuwa na uwezo wa kupiga hatua hiyo ni kitu kingine. Magufuli, Kabudi na wenzao wanaweza kuwa na tama ya kuitoa Tanzania kwenye hali ya kuwa Ombaomba, lakini hawajaonesha hata dalili za kuwa na uwezo wa kuwato Watanzania kwenye hali hiyo.
Wazee wenye mihemko ya kisisasa, au tamaa inayowazidi uwezo wa kufikiri, wasiojua kutofautisha cha kusema na cha kufanya – wahafidhinma wenye mawazo mgando wanaojitengenezea wenyewe maadui wa ndani na kuanza kupambana nawo kwa nguvu kubwa kuliko kupambana na umasikini – hawawezi kututoa kwenye matope ya misaada, hata warudie mara elfu kusema wanaichukia misaada, wameshindwa na wanaendelea kushindwa.
Unatoa tu mimacho eti "hatutapiga magoti". Wakati kuna watu mliwapelekea bili ya TRILIONI 400 wakawashusha mpaka BILIONI 700 mkawaita wanaumeAnaandika Dr Christopher Cyrilo

Waseme nini kwa uharo? waseme nini kwa mfamaji anayetukana badala ya kuomba msaada? unataka wafukuzane na mwendawazimu ili nao waonekane wendawazimu?Mbona hakuna Muzungu yoyote amesema chochote mpaka sasa hivi nasikia niggaz tu wakilia, kwa nini?
Waseme nini kwa uharo? waseme nini kwa mfamaji anayetukana badala ya kuomba msaada? unataka wafukuzane na mwendawazimu ili nao waonekane wendawazimu?
Halafu hili neno NIGGAZ unajitukana mwenyewe
Sasa ulitaka waseme nini mkuu, hawana sababu ya kufanya hivyo na hawataki mashindano wao wanatizama tu huku wakicheka kwa dharaaau.....!Mbona hakuna Muzungu yoyote amesema chochote mpaka sasa hivi nasikia niggaz tu wakilia, kwa nini?