WAZIRI WA ELIMU HILI UNALIJUA?

WAZIRI WA ELIMU HILI UNALIJUA?

NJUGHU

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
383
Reaction score
269
Msimu wa usajili wa wanafunzi wa darasa la saba kuingia shule binafsi au za mashirika ya dini umeungia Na ndio msimu mzuri wa biashara ila sasa umefikia kiwango cha kuwaumiza wazazi.
Wazazi sasa wanauziwa fomu za kujiandikisha kufanya mitihani Na kuchangia si pungufu ya elfu kumi. Watoto wanaotakiwa unakuta ni mia tu ila wanaonunua Na kufanya mitihani zaidi ya elfu moja.
Kinachooumiza zaidi ni wale wanaichaguliwa Na kutozwa karibu nusu ya ada kwa kisingizio cha pre form one Na kusoma masomo ya form one!
Je utaratibu huu unaendana Na miongozo ya elimu?
Mbaya zaidi watoto kuanza masomo mwezi October bila mapumziko Na wamemaliza shule September tu Na kusoma miezi mitatu.
 
Kama huna hela shule za BURE zipo!!! Acha kuingilia bihashara ya WATU.

Hivi unajua kuanzisha shule, kulipa wafanyakazi na kuakikisha wanafunzi wanakua salama ni Pesa kiasi gani!!??

Je zinarudije?!?

Peleka mwanao Kayumba Sekondari akayumbishwe akili.
 
Msimu wa usajili wa wanafunzi wa darasa la saba kuingia shule binafsi au za mashirika ya dini umeungia Na ndio msimu mzuri wa biashara ila sasa umefikia kiwango cha kuwaumiza wazazi.
Wazazi sasa wanauziwa fomu za kujiandikisha kufanya mitihani Na kuchangia si pungufu ya elfu kumi. Watoto wanaotakiwa unakuta ni mia tu ila wanaonunua Na kufanya mitihani zaidi ya elfu moja.
Kinachooumiza zaidi ni wale wanaichaguliwa Na kutozwa karibu nusu ya ada kwa kisingizio cha pre form one Na kusoma masomo ya form one!
Je utaratibu huu unaendana Na miongozo ya elimu?
Mbaya zaidi watoto kuanza masomo mwezi October bila mapumziko Na wamemaliza shule September tu Na kusoma miezi mitatu.
Sasa umeongea nini hapa
 
Basi kama vipi tugome kuwapeleka huko private
 
Msimu wa usajili wa wanafunzi wa darasa la saba kuingia shule binafsi au za mashirika ya dini umeungia Na ndio msimu mzuri wa biashara ila sasa umefikia kiwango cha kuwaumiza wazazi.
Wazazi sasa wanauziwa fomu za kujiandikisha kufanya mitihani Na kuchangia si pungufu ya elfu kumi. Watoto wanaotakiwa unakuta ni mia tu ila wanaonunua Na kufanya mitihani zaidi ya elfu moja.
Kinachooumiza zaidi ni wale wanaichaguliwa Na kutozwa karibu nusu ya ada kwa kisingizio cha pre form one Na kusoma masomo ya form one!
Je utaratibu huu unaendana Na miongozo ya elimu?
Mbaya zaidi watoto kuanza masomo mwezi October bila mapumziko Na wamemaliza shule September tu Na kusoma miezi mitatu.
Mkuu kuna senti kayumba kule kuna elimu bure, mpeleke mwanao huko. Acha watu wenye uwezo wapeleke watoto wao kwenye shule zinazojua maana ya elimu.
 
Nimejitahidi nikuelewe lakini nimeshindwa sjui wakati unaandika hili bandiko lako ulikuwa katika hali gani..!!
 
Back
Top Bottom