Tusi mkatishe tamaa bali tutoe hoja za kujenga, aweke wazi washauri wake wa kisiasa, ki uchumi, ki sera, kisheria, ki jamii n.k pia ki usalama maana taifa lina mhitati sana kuliko hata familia yake. Jk pamoja na madhaifu mengi anaweza mfaa kwenye political and self defence tactics. Japo nae ana...