Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,884
Habari wadau;
Kuna mtikisiko mkubwa uko mbele yetu hasa taasisi za kifedha zikiwemo mabenki, saccos, vicoba na micro finance zingine kwa ujumla.
Nimefatilia mijadala kwenye mitandao ya kijamii hasa kwa wahusika (management) za taasisialsi hizo na kuja na analysis ifuatayo.
1. NMB ndo mwathilika mkubwa wa watumishi hewa kwani amekuwa akiwakopesha kwa njia ya salary na standing orders watumishi hao na inakadiliwa watakuwa wameingiliwa kwa zaidi ya shilingi billioni 88 kama principle nje ya riba ambayo inaweza kuwa zaidi ya bilioni 40. Ikumbukwe fedha hizo ni za watu wanazilipia riba wakitarajia faida ndo ilipe hiyo interest.
2. CRDB bank wao kwa watumishi hewa inafikia zaidi ya bilioni 30 nje ya riba juu ya mikopo napo ni kilio.
3. Postal bank, NBC, Access bank, Lethshego, Baypot, waajili (advance salary) mifuko ya jamii ile mikopo yao ya makazi au nyumba, na taasisi ndogo ndogo za kifedha kama saccos na vicoba ndo wanabeba kiasi kilichobaki.
Kunaibuka utata wakati wanakopa hapa kuna waajiri huakiki kuwa mwajiriwa ni mtumishi wake kama mdhamini. Najiuliza serikali itazilipa benki hizi zisife au nazo kuingia kwenye great depression?
Note: bima hazilipi aina hii ya mikopo mibaya.