Serikali isitishe JKT

NJALI

JF-Expert Member
Jan 9, 2014
1,536
2,000
Minmi ni raia wa kawaida, katiba inaniruhusu kuongea chochote ambacho hakivunji sheria na katiba ya nchi.
KWA YALE Yanayoendelea KIBITI Kuna kila aina kuwa hawa watu wana military training tactics, yaani wana mbinu za kijeshi, pia wako vizuri ki intelijensia. SERIKALI Isiwapuuze hata kidogo, usalama wa taifa wawe bize kipindi hiki.
Kuna vijana wako mtaani wamepitia JKT Hawana kazi ya kufanya zaidi ya kupiga stori kwenye vijiwe vya ghahawa, stendi,na maeneo ya starehe. HAWA Wanaweza kushawishika kuwa waharifu, serikali iajiri vijana kulingana na uhitaji wake. PIA Mheshimiwa RAIS alegeze kamba kidogo, maisha yamekuwa magumu sana mtaani, arejeshe warsha, semina, na zile milioni 50 kila kijiji azitoe kama zipo kupunguza wimbi la vibaka, majambazi na vikundi vya kigaidi mtaani. RAIS WETU YUKO VIZURI JAPO SI AMINI KAMA ANAWASHAURI WAZURI NA WANAOTEKELEZA WAJIBU WAO VEMA. PIA AKIONA INAFAA AWEKE WAZI MAJINA NA PICHA ZA WASHAURI WAKE, MAANA MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU. KUNA SHIDA KWA WASHAURI
 
forex

Senior Member
Jun 15, 2017
198
250
Vijana wa JKT hawafundishwi mafunzo ya Kijeshi haswa haswa bali Uzalendo, ukakamavu na stadi za kazi! Hivyo sio kweli kabisa kabisa kuwa mafunzo yao yanaweza kuwafanya wafanye uhalifu unaofanyika Kibiti! Suala la Kibiti ni maoni yangu kuwa Serikali iongeze uwekezaji pesa ktk operesheni za kiusalama zinazoendelea!
 
NJALI

JF-Expert Member
Jan 9, 2014
1,536
2,000
Tusi mkatishe tamaa bali tutoe hoja za kujenga, aweke wazi washauri wake wa kisiasa, ki uchumi, ki sera, kisheria, ki jamii n.k pia ki usalama maana taifa lina mhitati sana kuliko hata familia yake. Jk pamoja na madhaifu mengi anaweza mfaa kwenye political and self defence tactics. Japo nae ana wadhaifu yake kama walivyo binadamu wote. Pia kama katiba ingekuwa inaruhusu KIKWETE ANGEPEWA WIZARA YA MAMBO YA NJE. INAMFAA SANA JAPO WANAMUITA VASCO da Gama.
 
Mkomavu

JF-Expert Member
Jan 25, 2016
10,517
2,000
Mkuu wangu hawa JKT hawafundishwi mbinu za kivita wala intelligence wanafundishwa tu ukakamavu na baadhi ya matumizi ya silaha na uzalendo wa hali ya juu
 
Chupaku

JF-Expert Member
Oct 15, 2008
1,091
1,500
Vijana wa JKT hawafundishwi mafunzo ya Kijeshi haswa haswa bali Uzalendo, ukakamavu na stadi za kazi! Hivyo sio kweli kabisa kabisa kuwa mafunzo yao yanaweza kuwafanya wafanye uhalifu unaofanyika Kibiti! Suala la Kibiti ni maoni yangu kuwa Serikali iongeze uwekezaji pesa ktk operesheni za kiusalama zinazoendelea!

Anachosema mdau ni kuwa huo ukakamavu na kulenga shabaha ndio shida.
 
ELI-91

JF-Expert Member
Aug 24, 2014
3,591
2,000
Naona unajaribu kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa :D. Anapendaga sana
 
Hebrew

JF-Expert Member
Jul 3, 2008
542
250
Sina uhakika kwamba mafunzo unayopata JKT yatakuwezesha kufanya mauaji kama haya ya Kibiti. Inawezekana watu wanaofanya hivi ni waliopitia mafunzo ya Jeshini (kama JW) au Polisi.
 
Hwasha

JF-Expert Member
Aug 22, 2015
1,271
2,000
Rais gani huyu wewe?
Rais asiyethamini mwanamke ujue ana roho ya kishetani!!!

Sishangai kipondo alichomshushia my wife wake hata kulazwa mhimbil.

Sii rais wa kujivunia hata kidogo.
Wajinga pekee ndio wana uthubutu huo wa kigaidi.

Shetani na watumishi wake ndio wanaothamini wanawake wazinzi.Kipi kinakuonyesha kuwa JPM hathamini wanawake.Makamu wake wa Rais mwanamke,ulitaka nini kifanyike ili ujue anawathamini?

Kama huna akili za kishetani na ukatakiwa uthibitishe kuwa alimpiga mkewe unaweza au ndiyo namna yenu ya kunzisha mada zenu za "tunaonewa,dikteta na hataki ushauri"

Kama hatuna hoja kwa nini tusinyamaze na kusikiliza wengine.Je unajua kuwa shetani ni baba wa uongo?
 
Mr. Zero

JF-Expert Member
Jun 5, 2007
12,808
2,000
Mkuu wangu hawa JKT hawafundishwi mbinu za kivita wala intelligence wanafundishwa tu ukakamavu na baadhi ya matumizi ya silaha na uzalendo wa hali ya juu
Kuwafundisha matumizi ya silaha nalo ni tatizo. Hasa hizi nyakati za Ugaidi!!
 
GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,136
2,000
Si Kweli mkuu, ingekuwa kuna kitu wanachukua baada ya mauaji hoja yako
angalau ingekuwa na mantiki.
 
Tumbo Tambarare

JF-Expert Member
May 10, 2017
210
250
Ni kweli na logic ni rahisi sana.Kwani waliopata mafunzo ya JKT ni vijana wa Pwani pekee?mbona vitendo hivyo hatuvioni Mara amaDodoma?Kuna wakati tuliambiwa vijana mkoani Pwani Tanga na Dar walichukuliwa kwenda kupata mafunzo ya ugaidi nchi kadhaa kwa ufadhili wa AL qaeda. Nafikiri sasa haya ndo sehemu ya majibu yake,siyo JKT.
 
MR DISLIKE

Member
Aug 22, 2015
61
125
Vijana wa JKT hawafundishwi mafunzo ya Kijeshi haswa haswa bali Uzalendo, ukakamavu na stadi za kazi! Hivyo sio kweli kabisa kabisa kuwa mafunzo yao yanaweza kuwafanya wafanye uhalifu unaofanyika Kibiti! Suala la Kibiti ni maoni yangu kuwa Serikali iongeze uwekezaji pesa ktk operesheni za kiusalama zinazoendelea!
Ulishawahi kuhitimu mafunzo ya JKT au unaropoka tu?
 
MR DISLIKE

Member
Aug 22, 2015
61
125
Mkuu wangu hawa JKT hawafundishwi mbinu za kivita wala intelligence wanafundishwa tu ukakamavu na baadhi ya matumizi ya silaha na uzalendo wa hali ya juu
Nani amekusimulia? Una uthibitisho na hicho unachoropoka? Labda kwa Wale tu wanaotoka fresh from school ndio huwa wanapigwa partially.
 
lebabu11

JF-Expert Member
Mar 27, 2010
2,072
2,000
Raia wote wanatakiwa wapewe mafunzo ya kujilinda, ukakamavu na uzalendo. Ukiwa na raia wenye mafunzo ya kivita ni muhimu kwa usalama wa taifa.
Hata hivyo, watawala dhalimu, waovu dhidi ya raia, wadanganyifu na wasiotenda haki huogopa wananchi wao na hujihami kwa kuwanyima uhuru na ufahamu.
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,602
2,000
Shetani na watumishi wake ndio wanaothamini wanawake wazinzi.Kipi kinakuonyesha kuwa JPM hathamini wanawake.Makamu wake wa Rais mwanamke,ulitaka nini kifanyike ili ujue anawathamini?

Kama huna akili za kishetani na ukatakiwa uthibitishe kuwa alimpiga mkewe unaweza au ndiyo namna yenu ya kunzisha mada zenu za "tunaonewa,dikteta na hataki ushauri"

Kama hatuna hoja kwa nini tusinyamaze na kusikiliza wengine.Je unajua kuwa shetani ni baba wa uongo?
Jk alifanyiwa upasuaji kwa matatizo ya tezi dume yaliyokuwa yakimsumbu (tuliambiwa bayana)
Samweli Sita alifariki kwa maradhi, tuliambiwa bayana kuwa ilikuwa ni tezi dume.
Tuambiwe mamaa jeesika alikuwa hospitalized kwa kusumbuliwa na ugonjwa gani kama sio kipondo?

Ili nikuthibitishie unachotaka, tekeleza kwanza lifuatalo:-

Wataje wamiliki wa Simba trust.
 
Mkomavu

JF-Expert Member
Jan 25, 2016
10,517
2,000
Nani amekusimulia? Una uthibitisho na hicho unachoropoka? Labda kwa Wale tu wanaotoka fresh from school ndio huwa wanapigwa partially.
Kwanini ukimbilie kuwa nani amenisimulia???Kwa akili hizo hapo siwezi kubishana na wewe mpumbavu na ulivyo nanga utaanza kutaja hadi aina ya mafunzo wanayopitia pumbavu epuka sana kujiweka public katika social networks hapa hata kama kulikuwa na kazi ya upelelezi wewe chizi ushaharibu kazi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom