Mimi ni miongoni mwa watanzania wachache wasio wanafiki, kwani sili kwa MTU, sina matarajio ya uteuzi kwa kuwa sija soma.
HOJA
Mh. nchi hii kuna wasomi wengi, kuna wenye busara wengi, kuna wana falsafa wengi sana.
Ifike mahali utuambie kuwa MR/MISS/MRS. X nimeamua kumpuzisha kwa sababu zifuatazo. Pia uwe unawaita na kuwahoji kabla huja watimua. Huenda wakawa na hoja zenye mashiko kwa walicho kifanya.
Pia shirikisha waziri mkuu na MAKAMO WAKO WA RAIS kuchukua maamuzi kwa ushauri zaidi. Wewe sio Mungu kwamba kila unachokifanya ni sahihi.
Mengi unafanya mazuri, ila unapokosea ni jukumu letu kukushauri, usichukie Mh. wewe ni baba wa taifa kwa miaka 10, sasa usichukie kushauriwa.
WAANGALIE WATUMISHI WA UMMA WANASHIDA BABA, WANAISHI KWA TAABU, WAKNGEZEE HATA KIDOGO HUKU UNA NYOOSHA NCHI. HATA UKIWAPA 50000 BAADA YA MAKATO WATASHUKURU MZEE WANGU.