Kidole kimoja hakivunji chawa

NJALI

JF-Expert Member
Jan 9, 2014
1,534
1,090
Hii methali niliisoma miaka ya 90 nikiwa primary school. Nchi yetu imefikia hatua ya MTU mmoja kuamini anaweza kila jambo yeye. Hataki ushauri hasa kwa wenzangu na Mimi tusio na elimu ya PhD yaani poor Hair Distribution.

Yaliyotokea kibiti ya askari wetu kuuliwa ni ya kulaani. Ni ugaidi, lakini huu unasababishwa na long term Grievances, dhidi ya serikali. Maisha kuwa magumu pia ni chanzo kikuu.

Serikali irejeshe imani kwenye jeshi la polisi, JWTZ kuna unafuu lakini polisi hawaaminiki. Sijui tatizo ni maslahi duni! Urafi wa Mali au nini, sijui.

Mfano, leo ninajua vijiwe 10 hapa Mkuranga vinavyo uza gongo na bange, nikiwambia polisi nahofia wanaweza nitaja kwa wahusika,nika uwawa, sio polisi wote ni waaminifu.

Majambazi, yako kwenye jamii zetu, baadhi yetu tuna yajua, tuna kula nayo, tuna lala nayo. Tatizo la kuto yataja ni je una uhakika gani kuwa huyo unae mwambia hali nao 10%. unaona wauza madawa wanavyo msakama Paul Makonda? Kisa huenda wanakula na baadhi ya vigogo serikalini, bungeni, mahakamani, jeshini na hata usalama WA taifa.

NINI KIFANYIKE?
Rais rejesha sungu sungu nchi MZIMA, watu wapige kura za kuto kuwa na imani na baadhi ya RAIA au viongozi ki usalama.

2. Anzisha ulinzi shirikishi na doria usiku, hii itapunguza uzururaji usiku. Pia kutambua WEMA NA wabaya itakuwa rahisi.

3.Fumua jeshi la polisi angalau kila ofisi ya mtendaji wa kijiji, mtaa kuwe na polisi mmoja. Huyu atatoa defense advice kwa Rangers of the village or street.

4.Usalama wa taifa uachwe ufanye kazi yao bila kuingiliwa au kutumika ki siasa. Tanzania tuna usalama wazuri,tatizo siasa inawayumbisha,pia upatikanaji WAO, katika vigezo viwekwe wazi, hao watoto wa vigogo walio wekwa TISS wanaweza mkwamisha Rais wetu mpendwa.

Uchunguzi ufanyike walio waua askari wetu wakamatwe na sheria ichukue mkondo wake.
 
Form ya kugombea Urais alienda mwenyewe na hakushauriwa na mtu lakini nyinyi mkajipendekeza kwa kumpigia kura mtu anayejiamini kama Mungu. Jipendekezeni ili awakaaange maana hajaitaji ushauri wenu. Nawatakia pasaka njema.
 
Hii methali niliisoma miaka ya 90 nikiwa primary school. Nchi yetu imefikia hatua ya MTU mmoja kuamini anaweza kila jambo yeye. Hataki ushauri hasa kwa wenzangu na Mimi tusio na elimu ya PhD yaani poor Hair Distribution.

Yaliyotokea kibiti ya askari wetu kuuliwa ni ya kulaani. Ni ugaidi, lakini huu unasababishwa na long term Grievances, dhidi ya serikali. Maisha kuwa magumu pia ni chanzo kikuu.

Serikali irejeshe imani kwenye jeshi la polisi, JWTZ kuna unafuu lakini polisi hawaaminiki. Sijui tatizo ni maslahi duni! Urafi wa Mali au nini, sijui.

Mfano, leo ninajua vijiwe 10 hapa Mkuranga vinavyo uza gongo na bange, nikiwambia polisi nahofia wanaweza nitaja kwa wahusika,nika uwawa, sio polisi wote ni waaminifu.

Majambazi, yako kwenye jamii zetu, baadhi yetu tuna yajua, tuna kula nayo, tuna lala nayo. Tatizo la kuto yataja ni je una uhakika gani kuwa huyo unae mwambia hali nao 10%. unaona wauza madawa wanavyo msakama Paul Makonda? Kisa huenda wanakula na baadhi ya vigogo serikalini, bungeni, mahakamani, jeshini na hata usalama WA taifa.

NINI KIFANYIKE?
Rais rejesha sungu sungu nchi MZIMA, watu wapige kura za kuto kuwa na imani na baadhi ya RAIA au viongozi ki usalama.

2. Anzisha ulinzi shirikishi na doria usiku, hii itapunguza uzururaji usiku. Pia kutambua WEMA NA wabaya itakuwa rahisi.

3.Fumua jeshi la polisi angalau kila ofisi ya mtendaji wa kijiji, mtaa kuwe na polisi mmoja. Huyu atatoa defense advice kwa Rangers of the village or street.

4.Usalama wa taifa uachwe ufanye kazi yao bila kuingiliwa au kutumika ki siasa. Tanzania tuna usalama wazuri,tatizo siasa inawayumbisha,pia upatikanaji WAO, katika vigezo viwekwe wazi, hao watoto wa vigogo walio wekwa TISS wanaweza mkwamisha Rais wetu mpendwa.

Uchunguzi ufanyike walio waua askari wetu wakamatwe na sheria ichukue mkondo wake.
Kuyakimbia matatizo siyo ufumbuzi. JWTZ walienda kwenye yale mapango ys Handeni sijui lakini kwani walifanikisha nini?

JWTZ wakafanyakazi za kipolisi ni hao polisi watabaki kazini kweli? Na kazi za JWTZ zitafanywa na nani?
 
Hii methali niliisoma miaka ya 90 nikiwa primary school. Nchi yetu imefikia hatua ya MTU mmoja kuamini anaweza kila jambo yeye. Hataki ushauri hasa kwa wenzangu na Mimi tusio na elimu ya PhD yaani poor Hair Distribution.

Yaliyotokea kibiti ya askari wetu kuuliwa ni ya kulaani. Ni ugaidi, lakini huu unasababishwa na long term Grievances, dhidi ya serikali. Maisha kuwa magumu pia ni chanzo kikuu.

Serikali irejeshe imani kwenye jeshi la polisi, JWTZ kuna unafuu lakini polisi hawaaminiki. Sijui tatizo ni maslahi duni! Urafi wa Mali au nini, sijui.

Mfano, leo ninajua vijiwe 10 hapa Mkuranga vinavyo uza gongo na bange, nikiwambia polisi nahofia wanaweza nitaja kwa wahusika,nika uwawa, sio polisi wote ni waaminifu.

Majambazi, yako kwenye jamii zetu, baadhi yetu tuna yajua, tuna kula nayo, tuna lala nayo. Tatizo la kuto yataja ni je una uhakika gani kuwa huyo unae mwambia hali nao 10%. unaona wauza madawa wanavyo msakama Paul Makonda? Kisa huenda wanakula na baadhi ya vigogo serikalini, bungeni, mahakamani, jeshini na hata usalama WA taifa.

NINI KIFANYIKE?
Rais rejesha sungu sungu nchi MZIMA, watu wapige kura za kuto kuwa na imani na baadhi ya RAIA au viongozi ki usalama.

2. Anzisha ulinzi shirikishi na doria usiku, hii itapunguza uzururaji usiku. Pia kutambua WEMA NA wabaya itakuwa rahisi.

3.Fumua jeshi la polisi angalau kila ofisi ya mtendaji wa kijiji, mtaa kuwe na polisi mmoja. Huyu atatoa defense advice kwa Rangers of the village or street.

4.Usalama wa taifa uachwe ufanye kazi yao bila kuingiliwa au kutumika ki siasa. Tanzania tuna usalama wazuri,tatizo siasa inawayumbisha,pia upatikanaji WAO, katika vigezo viwekwe wazi, hao watoto wa vigogo walio wekwa TISS wanaweza mkwamisha Rais wetu mpendwa.

Uchunguzi ufanyike walio waua askari wetu wakamatwe na sheria ichukue mkondo wake.
No research no right to...........Hatujadili hisia hapa
 
Back
Top Bottom