Hivi rais huwa anasocialize?

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,903
4,051
Manake akiongea huwa anakua serious sana.
liwe Jambo dogo au Jambo kubwa anaongea kwa ukali .

Tunaomba apunguze vitisho.

b careful ,watch it

sijaribiwi

sipangiwi Na MTU

I wish I could b IGP

weka ndani

fukuza

nasema kata, yani kata

toa tairi (bodaboda)

kama unanjaa nikupikie

da!.
 
Yuko sawa, angeenda Tarime akara Kichuri cha mbusi awe mkari saidi Mura. Sasa hivi ni mubhore sana Mura.
 
Watch it, not to that extent.

Mhmm. Kwa kauli hizi za ovyo ovyo na vitisho visivyokuwa za maana ni wazi zinatia ukakasi na kinyaa kwenye taasisi kubwa kama ile ya uraisi.

Sidhani aliyopo kwenye kile kiti kama anatambua umuhimu wa kile kiti. Kile kiti sio cha kulipizia visasi,kukomoa na chuki dhidi ya wananchi wake.

Kwa mwenendo huu ni wazi kabisa tunakoelekea ni kwenye state of emergence kwa uoga wa watawala. Inatia huruma sana kwa kweli.
 
Ndio anajamiiana
Mwanaume anayejiamini siyo mpaka kukunja makunyanzì ya uso,kutoa lugha ya vitisho, na kurusha mapovu. Huu ni uoga na sio kujiamini.

Vitisho na mikwara ni dalili za mtu aliyeshindwa na kuumbuka kuwa ni muongo hana lolote hutumia vitisho kama mechanisim ya kutohojia kwa ahadi hewa na kufeli kwake dhidi ya matamko aliyokwisha ongea hapo awali.
 
Manake akiongea huwa anakua serious sana.
liwe Jambo dogo au Jambo kubwa anaongea kwa ukali .

Tunaomba apunguze vitisho.

b careful ,watch it

sijaribiwi

sipangiwi Na MTU

weka ndani

fukuza

inasema kata, yani kata

da!.
Achana na baba ubaya.... hapangiwi cha kufanya
 
Watch it, not to that extent.

Mhmm. Kwa kauli hizi za ovyo ovyo na vitisho visivyokuwa za maana ni wazi zinatia ukakasi na kinyaa kwenye taasisi kubwa kama ile ya uraisi.

Sidhani aliyopo kwenye kile kiti kama anatambua umuhimu wa kile kiti. Kile kiti sio cha kulipizia visasi,kukomoa na chuki dhidi ya wananchi wake.

Kwa mwenendo huu ni wazi kabisa tunakoelekea ni kwenye state of emergence kwa uoga wa watawala. Inatia huruma sana kwa kweli.
Anatakiwa kukumbushwa kuwa urais sio vita!!

Namuona ana mrengo wa ki-antisocial zaidi hivyo ni sociopath!!
 
Back
Top Bottom