Recent content by Niwemugizi

  1. Niwemugizi

    Kaka yangu jogoo hawiki, msaada wenu

    Wise word, many thanks brother and be blessed
  2. Niwemugizi

    Kaka yangu jogoo hawiki, msaada wenu

    Kusema ukweli kaka hajafunguka kwangu ila baada ya kuambiwa na huyo hawara mmoja na baada ya kufanya research yangu ndogo naamini kabisa brother ana shida nina uhakika huo 100%
  3. Niwemugizi

    Kaka yangu jogoo hawiki, msaada wenu

    Boss nimeshakuambia siyo mimi km unataka naweza kukuPM namba yake ila hakikisha unamsaidia na siyo kumuongezea matatizo ama kumtia msongo wa mawazo, by the way mimi nilishaelekezwa kuwa kuna bibi yupo Kigoma wilaya ya Kasulu kijiji kimoja kinaitwa Heru juu, naskia bibi ni mtaalamu balaa ila...
  4. Niwemugizi

    Kaka yangu jogoo hawiki, msaada wenu

    Thanks kwa ushauri mkuu wa huyo bibi, ila shida ni namna ya kumwambia bro kwamba sasa brother unaumwa abc sasa nimepata mganga wa kukutibu pa kuanzia ndo shida
  5. Niwemugizi

    Kaka yangu jogoo hawiki, msaada wenu

    aliyetegwa mimi nipo gado ila sikulazimishi uamini hivo, nimekuja hapa kuomba watu wanisaidie mbinu za kuingia kwa brother ili nimfahamishe kuwa hajachelewa tiba ipo ila shida ni namna ya kumuingia na kusema kuwa nimesikia husimamishi ndiyo shida hapo aise
  6. Niwemugizi

    Kaka yangu jogoo hawiki, msaada wenu

    Nahitaji msaada wenu wanajamii forum, naamini palipo na wengi hapaharibiki jambo na mwisho wa siku ntapata msaada wa kunikwamua mahali nilipo Nina kaka yangu mwaka huu amefunga 42 years, actually ni mototo wa mama yangu mkubwa, ina shida moja kubwa ambayo nimeigundua hivi majuzi baada ya...
  7. Niwemugizi

    Diplomatic row? Rwanda to relocate Burundi refugees to other countries!

    Kama tayari wamethibitika kuwa wametoa mafunzo kwa hao vijana kwani hao wakimbizi wakihamia nchi nyingine Rwanda haiwezi kuwafuata na kuwapa mafunzo? Cha msingi kama umoja wa mataifa wana ushahidi kamili ni kupiga Rwanda vikwazo vya kufa sio kuwachekea tu, yaani DR wao, Burundi wao hivi kwani...
  8. Niwemugizi

    Kwanini kwa Piere Nkurunziza ni dhambi ila kwa Museveni na Kagame si dhambi?

    Unajua idadi au asilimia ya wananchi waliomgomea,lishasikia tofauti na Bujumbura tena baadhi ya vitongoji km kuna sehemu nyingine wanampinga Nkurunziza? Kwa taarifa yako hakuna wananchi waliompinga Nkurunziza isipokuwa Kagame na Mseveni ndiyo wanaompinga Nkurunziza kupitia kwa watusi wachache...
  9. Niwemugizi

    Kwanini kwa Piere Nkurunziza ni dhambi ila kwa Museveni na Kagame si dhambi?

    Upo sahihi kabisa safari hii patachimbika sana, by the way kwa nini shida ipo vitongoji vya Bujumbura tu tena sehemu moja iliyokaliwa na watusi tu
  10. Niwemugizi

    Kwanini kwa Piere Nkurunziza ni dhambi ila kwa Museveni na Kagame si dhambi?

    Mimi kuna kitu huwa nikifikiria basi najisikia kutapishwa kabisa, Kagame ameitawala Rwanda tokea mwaka 1994 July, najua wengi watasema kuwa rais wa wakati huo alikuwa Pasteur Bizimungu lakini kwa taarifa yenu Bizimungu alikuwa tu zuzu lililokaa pale kufuata matakwa ya boss wake Kagame. Yoweri...
  11. Niwemugizi

    Naruhusiwa kumuoa?

    Kama umempenda muwowe tu haina shida
  12. Niwemugizi

    Nipo njia panda

    Hahahaha alikuambia kam ni mwalimu kweli tena wa secondary daaa, anyway kwa kuwa shule zilishakuwa rahisi tokea bodi ya mikopo basi hakuna namna
  13. Niwemugizi

    Sikujua kama ni mke wa mtu

    Umepima laikini.Mgodini kwa umeme ni balaa sana, kama ni TANESCO kukatika inakatika kweli kweli
  14. Niwemugizi

    BBC swahili, uchaguzi Tanzania mmejivuta sana mwaka huu

    Kwa sababu wanajua tukishakama nchi tunamchukua Salimu Kikeke kuja kushikilia TBC
  15. Niwemugizi

    Ana mchumba, lakini amepata ujauzito wa mwanaume mwingine

    Wangukuwa wanaruhusu like zaidi ya moja ningekugonga hata mia, eti alishawishika shenzi kabisa
Back
Top Bottom