Kaka yangu jogoo hawiki, msaada wenu

Kaka yangu jogoo hawiki, msaada wenu

Boss nimeshakuambia siyo mimi km unataka naweza kukuPM namba yake ila hakikisha unamsaidia na siyo kumuongezea matatizo ama kumtia msongo wa mawazo, by the way mimi nilishaelekezwa kuwa kuna bibi yupo Kigoma wilaya ya Kasulu kijiji kimoja kinaitwa Heru juu, naskia bibi ni mtaalamu balaa ila shida yangu mimi hasa ni nmna gani kumwambia brother kwamba nenda kwa bibi ukachukue dawa ilihali hajawahinitamkia kama anaumwa ama si mzima. So kwanza nisaidiwe namna ya kuweza kumwambia na hayo ya kutibiwa yaje baadae
Utafiti unatakiwa kuanza na utambuzi, tambua kama kuna mwanafamilia yeyote anayejua tatizo lake.
Kama unampenda na kumjali sana unaweza mtafutia msichana afu huyo mribwende unamsomesha mchezo mzima, mwisho wa siku si atagundua tatizo, uyo binti atajidaisha ka anataka msaidia na atampeleka kwa mtaalam uliyemtafutia ama utampa dawa ambayo utampatia ambayo itasaidia tatizo lake.
(hapo ni biashara inamaana uyo mdada utatakiwa kumlipa kwa shughuli atakayokusaidia)

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu cha kufanya ni kutafuta sehem na kukaa na kaka yako kisha mwaga tuhuma ulizosikia kwa hao wanawake kisha uangalie response yake.Jaribu kumuwekea mazingira ambayo atakuwa na confidence ujue chanzo cha tatizo na hatua ambazo yeye amechukua na hapo ndio utapata wapi kwa kuanzia.Ni bora kama atakuwa na tatizobhilo kweli mkaanza kwenda kumuona daktari.Bora umwambie wewe ndugu na rafiki yake wa karibu kuliko kumtongozea wanawake ambao mwisho wa siku wanajua udhaifu wake.Jaribu kukaa nae na umbane akuambie ukweli na wewe ndio utakuwa shujaa wake
Wise word, many thanks brother and be blessed
 
aliyetegwa mimi nipo gado ila sikulazimishi uamini hivo, nimekuja hapa kuomba watu wanisaidie mbinu za kuingia kwa brother ili nimfahamishe kuwa hajachelewa tiba ipo ila shida ni namna ya kumuingia na kusema kuwa nimesikia husimamishi ndiyo shida hapo aise
ww wala usiumize kichwa wala usimwambie chochote. kama dawa unaifahamu chukua dawa mpe na mwambie hii dawa inasaidia labda ugonjwa wowote. utakua umemsaidia bila yeye kujua
 
Jamii forum ni zaidi ya kila kitu ! Idumu na washirika wote nawa tano!
 
Kama keshazoea maisha ya namna hiyo achana nae, mwache aendelee kuwa khanithi.
Hivi mwanaume kuna raha zaidi ya Ku****ba kweli .
Huenda kuna raha zaidi ya kutia yeye anazipata .
Mwambie aache ujinga ku......ba Kutamu sana.
 
Nahitaji msaada wenu wanajamii forum, naamini palipo na wengi hapaharibiki jambo na mwisho wa siku ntapata msaada wa kunikwamua mahali nilipo

Nina kaka yangu mwaka huu amefunga 42 years, actually ni mototo wa mama yangu mkubwa, ina shida moja kubwa ambayo nimeigundua hivi majuzi baada ya kumfuatilia kwa muda mrefu bila kupata majibu. Kaka yangu linapokuja suala la kuoa anasema kuwa hajapata mwanamke sahihi wa kumweka ndani awe mama watoto wake.

Wakati nikiwa chuo alinisumbua sana namlink na wadada ambao niliona wanaweza wakawa wife material ila relationship yao haikuwa inakaa zaidi ya miezi mitatu inavunjika, nikimuuliza mdada ananiambia muulize kaka yako nikimuuliza bro anasema watoto wa chuo wasumbufu.

Maisha yakaendelea basi tulivoanza kazi na penyewe akawa anasema km job kwangu kuna msichana ambae naona ni wife material nimuunganishe nae maana yeye kazi zimemtinga na pia kazini kwao amesearch hajaona, du kweli nikampata mlokole mmoja wa kwa mchungaji mama Lwakatare huko milima ya moto,

mimi nikajua sasa tayari tunaenda kutoa mahari but baada ya miezi miwili uhusiano ukavunjika nikamuuliza shida ni nini kila mmoja akaniambia muulize kaka yako na kaka ananiambia muulize huyo unaemuita wife material wako.

Anyway to cut the story short nilimmbana mmoja wa wadada aliokuwa nao wale wa chuoni akaniambia kuwa kaka hasimamishi akaniaapia kuwa walienda guest bro jogoo akashindwa kuwika sasa wandugu nashindwa nifanyeje kumsaidia brother yangu maana umri umekwenda ana 42 yrs ila familia ndiyo hana hata mtoto wa kusingiziwa.

Naombeni mnisaidie namna ya kumuingia ili nimuunganishe kwa madaktari maana nina mtu namfahamu alikuwa kama yeye alipopewa mitishamba alipona kabisa na yupo gado, nisaidie ideas namna ya kulianzisha kwa kaka ili apate kuponyeka nayeye afurahie uanaume wake
Mkuu nitafute mimi nipate kumtibia apate kupona Ninayo dawa ya kuweza kumrudsiha nguvu zake za kiume na akapona kabisa. Ukihitaji
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169


VILIRITY GOLD PILLS.jpg
 
Back
Top Bottom