Nipo njia panda

Nipo njia panda

Mimi nachukulia mwanamme anayesema hajaoa ili kumpata msichana .....hajiamini na pia anafanya kosa kubwa Sanaa la kuumiza hisia za mwanamke.........in vema umuambie ukweli ili ajue hisia zake kwako anaziweka Kama mpenzi au sex partner au vipi .......ukimuambia hujaoa anaziweka hisia zake kwenye kuolewa .....na akijakugundua tofauti unakuwa umeshamuumiza sans ...
Pia pengine unampotezea Bahati ya kuongea na wanaume wengine serious wenye lengo la Ndoa.......,ambapo Kama mnahshimiana mnaweza kuwa wapenzi na anajuwa umeoa Ila akitokea muowaji anakuambia ....na mnaachana kwa Amani na kubakia marafiki ....
 
Kama mwanamke anajitambua hawezi kujirahisisha kihivyo.ndio walewale tu. Mwambie ukweli umeoa na uachane nae ili naye ipo siku ataweza kupata wa ukweli atakayemuoa kuliko wewe utaka umwache kwenye dhambi ya zinaa.
Kama dini inaruhusu mfanye awe mke wa pili.hiyo ndio raha ya uislam mkuu.
 
Nisamehe bure bt kwa mtazamo wangu ww sio mwaminifu hata kidogo. Una sababu yoyote ya kwnn hukumpatia pochi yake mapema? Umekaa nayo weeee,na mtu mwenyewe alikopa ili akafidie hizo alizopoteza. Siku nyingne kitu ka si chako usikae nacho muda mrefu. Mtakuja kusababisha matatizo ambayo ni makubwa wakati soln yake ilikua ndogo tu.
Mwisho, heshimu ndoa yako. Jiulize siku ya kiama utajibu nn?
 
Ww vipi? Hii stor si ameileta magode hapa?
Hebu magode unasemaje
Nimetoa taarifa kwa mods wafanyie kazi,jamaaa ka-copy uzi km ulivyo halafu kauleta hapahapa! Bila aibu hajabadilisha hata kidogo,amecopy km ilivyo! Watu km hawa wanatakiwa kupigwa ban ya maisha.
 
Last edited by a moderator:
Dah! Nmesoma ule mrejesho. Ila kuna bom unalitengeneza likija kulipuka madhara yake yatakuwa makubwa sana''

bora uachane na huyo mwanamke, ataisababisha nyumba yako iwe syria kama sio Bujumbura
Mkuu Mgirik nashukuru kwa mawazo yako. Nasikitika huu uzi kuna mtu amecopy na kuuweka hapahapa jamvini na mods wala hawajachukua hatua yeyote..!
 
Last edited by a moderator:
Nimetoa taarifa kwa mods wafanyie kazi,jamaaa ka-copy uzi km ulivyo halafu kauleta hapahapa! Bila aibu hajabadilisha hata kidogo,amecopy km ilivyo! Watu km hawa wanatakiwa kupigwa ban ya maisha.

Hivi mijitu hii inayokopi story za wengine huwa inatuona sisi mapoyoyo ama?
 
Hivi mijitu hii inayokopi story za wengine huwa inatuona sisi mapoyoyo ama?
Na alivyo wa ajabu,amecopy story km ilivyo,hajabadili chochote..! Inabidi haki zetu ziwe zinalindwa
 
Kama wewe una mke na watoto na huyo mwanamke hana mume wala watoto kwa nini usimuache aende kwa wenye nia ya dhati na yeye. Kwa sababu ulichagua mwanzo mbaya wa kudanganya basi hata mwisho wake pia utakuwa mbaya. Kheri umwambie mapema ukizingatia huna cha kupoteza kwani umri wako ushakwenda, mke unae na watoto unao.
 
Na umri huo na mke na watoto kazi yenyewe tigo pesa na bado unahangaika na mmallaya??..wanao watasoma kweli??
 
Hahahaha alikuambia kam ni mwalimu kweli tena wa secondary daaa, anyway kwa kuwa shule zilishakuwa rahisi tokea bodi ya mikopo basi hakuna namna
 
hii story si katoa magode jana kumbe ni hadithi basi tena
 
Last edited by a moderator:
Kwani wewe hupendi, tatizo mimi nitakuwa najua wewe ndo umetumia kabla yangu, lakin hata wewe ulikuta walishatumia (used) japo mtumiaji haumfahamu.

Kipya kinyemi....ingawa ni kidonda.. Ganda la muwa la jana..sisimizi alinijivunia na kuona amevuna
naaaam...nimekuelewaaaaa
 
Kwa kuwa umeruhusu hukumu, naomba nikuhukumu kwamba japo ulimjibu kwamba uaminifu wako si kwake tu bali binadamu wanatakiwa kuwa hivyo; hapo ulidanganya na wewe si mwaminifu maana umezini naye tena baada ya kumkana mkeo mbele zake na Mola wako.

Ulitakiwa kujihakikishia kwamba huyo ndiye mmiliki wa ulichookota na kisha kumkabidhi badala ya kujiona umeokota dodo chini ya mnazi....
 
Na alivyo wa ajabu,amecopy story km ilivyo,hajabadili chochote..! Inabidi haki zetu ziwe zinalindwa

Sema hata wewe uliicopy mahali kama ukaileta humu na yeye alipoiona huko ulipoicopy bila kujua kuwa ulishamuwahi ukaileta humu akaileta tena. Acheni tabia ya kucopy vitu alafu mnaleta huku kama ni hadithi sema hadithi siyo unajivika uhusika, cheki mnavyo jiumbua wenyewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom