HIDAYA IDD
New Member
- Aug 6, 2016
- 4
- 1
Oya dawa zipo lakini hawawote hakuna hatammoja alie mpenda kwa zati kama walikuwa Na mapenzi ya zati wangevumilia Na wangeangaika nae ila pole sana kaka angu.
Boss nimeshakuambia siyo mimi km unataka naweza kukuPM namba yake ila hakikisha unamsaidia na siyo kumuongezea matatizo ama kumtia msongo wa mawazo, by the way mimi nilishaelekezwa kuwa kuna bibi yupo Kigoma wilaya ya Kasulu kijiji kimoja kinaitwa Heru juu, naskia bibi ni mtaalamu balaa ila shida yangu mimi hasa ni nmna gani kumwambia brother kwamba nenda kwa bibi ukachukue dawa ilihali hajawahinitamkia kama anaumwa ama si mzima. So kwanza nisaidiwe namna ya kuweza kumwambia na hayo ya kutibiwa yaje baadaeKuwa mkweli usaidiwe!! Nilikuuliza uzito wake na tests condition yake usingeweza kujibu!!
mchane live ndugu atajisikia vibaya kama umejua tatizo then hukumsaidia,lkn km umemsaidia,atashukuru sana,haya mambo yanatesa nafsi kama mtu anao mtulinga tuu may e hausimami vizur anapagawa jee huyo? mwambie mmoja wa madem material uliyetaka nimuulizie ndio kasema una hilo tatizo hapo unageuka unakua serious,unamwambia madhara ya kuwahivo wakat huo huo unamwakikishia kua tiba ipo,ataona haibu na atataka umsaidieThanks kwa ushauri mkuu wa huyo bibi, ila shida ni namna ya kumwambia bro kwamba sasa brother unaumwa abc sasa nimepata mganga wa kukutibu pa kuanzia ndo shida
achana nao kaka uwe ww au sio wewe wao inawahusu nini,tafuta solution temana naoBoss nimeshakuambia siyo mimi km unataka naweza kukuPM namba yake ila hakikisha unamsaidia na siyo kumuongezea matatizo ama kumtia msongo wa mawazo, by the way mimi nilishaelekezwa kuwa kuna bibi yupo Kigoma wilaya ya Kasulu kijiji kimoja kinaitwa Heru juu, naskia bibi ni mtaalamu balaa ila shida yangu mimi hasa ni nmna gani kumwambia brother kwamba nenda kwa bibi ukachukue dawa ilihali hajawahinitamkia kama anaumwa ama si mzima. So kwanza nisaidiwe namna ya kuweza kumwambia na hayo ya kutibiwa yaje baadae
kweli yaani hawakumpenda jamaa anipe namba yake nijiweke tutaanza from ziro nitaleta mrejeshoOya dawa zipo lakini hawawote hakuna hatammoja alie mpenda kwa zati kama walikuwa Na mapenzi ya zati wangevumilia Na wangeangaika nae ila pole sana kaka angu.
unaweza kuanza kujifunza kuhesabu kama upo chekechea tena kwa vijiti na visoda acha kabisa
kaka yako amekwambia tatizo au nikutoka kwa hao mahawara tu.....???Thanks kwa ushauri mkuu wa huyo bibi, ila shida ni namna ya kumwambia bro kwamba sasa brother unaumwa abc sasa nimepata mganga wa kukutibu pa kuanzia ndo shida
unataka kumuingia kaka ako au sijakuelewaaliyetegwa mimi nipo gado ila sikulazimishi uamini hivo, nimekuja hapa kuomba watu wanisaidie mbinu za kuingia kwa brother ili nimfahamishe kuwa hajachelewa tiba ipo ila shida ni namna ya kumuingia na kusema kuwa nimesikia husimamishi ndiyo shida hapo aise
kweli yaani hawakumpenda jamaa anipe namba yake nijiweke tutaanza from ziro nitaleta mrejesho



Kusema ukweli kaka hajafunguka kwangu ila baada ya kuambiwa na huyo hawara mmoja na baada ya kufanya research yangu ndogo naamini kabisa brother ana shida nina uhakika huo 100%kaka yako amekwambia tatizo au nikutoka kwa hao mahawara tu.....???
Ukipata tiba utaenda kumpaje wakati hajawahi kukuambia kama anatatizo?? Kuna mwanafamilia yeyote anayejua tatizo la broo??aliyetegwa mimi nipo gado ila sikulazimishi uamini hivo, nimekuja hapa kuomba watu wanisaidie mbinu za kuingia kwa brother ili nimfahamishe kuwa hajachelewa tiba ipo ila shida ni namna ya kumuingia na kusema kuwa nimesikia husimamishi ndiyo shida hapo aise
Hasa kama ulitoka kugegedwa peku... a,k,a voda kwa vodaTEH NI KAMA SISI WANAWAKE UKIWA PERIOD SHIDA ILA ITOKEE MWEZI HUJAONA SIKU ZAKO UTAJUA FORMULA ZOTE ZA HESABU HATA KAMA ULISOMA HKL
Afu Mi Huwa Nakupendaunaweza kuanza kujifunza kuhesabu kama upo chekechea tena kwa vijiti na visoda acha kabisa
Utamsaidia sana na utasaidia wengi sana kama utaweka namna ya kumpata bibi huyoKuna rafiki yangu mumewe had some issue,nikapata Bibi mmoja akamsaidia sasa sijui tatizo lake huyo bro wako limeanzaje limeanzaje,lakini nakumbuka tulitoa elfu 30 tuu akapata dawa ya kuweka kwenye chai na nyengine ya kuchemsha mizizi,sasa rafiki anapeta na mumewe na ameweka routine Asubuhi lazima apate sunday hataki kujua anarudia,anasema analipiza those missed days,kama utataka kujaribu naweza kukuulizia kwa Bibi...