Niwemugizi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 902
- 462
Mimi kuna kitu huwa nikifikiria basi najisikia kutapishwa kabisa, Kagame ameitawala Rwanda tokea mwaka 1994 July, najua wengi watasema kuwa rais wa wakati huo alikuwa Pasteur Bizimungu lakini kwa taarifa yenu Bizimungu alikuwa tu zuzu lililokaa pale kufuata matakwa ya boss wake Kagame.
Yoweri Museveni ametawala Uganda tokea sijazaliwa mwaka 1986 mpaka sasa ni rais wa Uganda na mwezi huu bila shaka yoyote ile Waganda watampatia tena kura za ndiyo kumpeleka ikulu.
Sasa huwa najiuliza why Burundi and why Nkurunziza kutaka mhura wa Tatu imekuwa taabu kwa Uganda na Rwanda? Kwa nini wao wasitoe kwanza boriti kwenye jicho lao ndiyo watoe na maboriti ya wenzao? Kuna kitu Rwanda inatafuta kupitia Burundi si bure but this time naamini mchuma janga hula na wa kwao kwa hiyo haitaishia Burundi itavuka mpaka Rwanda.
Kila siku Rwanda inashinikiza Burundi ipokee majeshi ya kulinda amani kwa kuwa wanajua RPF kupitia majeshi ya The United Nations Assistance Mission for Rwanda (UNAMIR) ndiyo yaliyowasaidia kuipindua serikali ya Rwanda sasa wanataka na Burundi wayakubali majeshi hayo ili iwe rahisi kujipenyeza huko na kuleta machafuko makubwa.
I salute Nkurunziza kuyakataa majeshi hayo maana hayo ndiyo yanayoweza kumuangusha kama alivoangushwa Habyarimana. Akomae na hao big nose atawashinda tu hawana jipya