Recent content by nipekidogo

  1. nipekidogo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ananiita honey kwa sauti mbele ya ndugu zangu na Mama mzazi

    Huu ni mwaka wa 10 nikiwa na mke wangu na tuna watoto watatu, tunaitana Dear miaka yote tangu tukiwa wapenzi mpaka sasa, iwe mbele ya ndugu zangu au ndugu zake hata wazazi na sijawahi kuhisi vibaya naona poa tu hata watoto wetu wamezoea, sijawahi kumuita mama flani au kuitwa baba flani au hata...
  2. nipekidogo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Atakuwa kijijini aise, amebowa mbaya sn story yake ya kitoto
  3. nipekidogo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Story yako umeiharibu, umejisifia sana badala ya kuelezea kula kimasihara unatuletea habari za bonge la TV,bongo la kitanda sijui vitu gani sasa inasaidia nn jamaa yng
  4. nipekidogo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Dah nimecheka sn, huyu jamaa anapaswa kuingizwa Kwenye Vitabu vya history ya kuwafanya waliokula kimasihara kufunguka!
  5. nipekidogo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maandalizi bora kwa binti anayeelekea balehe

    Nimeisha tu kucheka, ngoja abalehe ndio utajua kama hicho kijitabu kilifanya kazi au hakikufanya kazi!
  6. nipekidogo

    JamiiForums Tanzania Nilichogundua kuwa JP "nabii. Hakubaliki kwao"

    Hakuna anaepiga K-vant akawa na uandishi huu, hii lazima itakuwa wanzuki tu
  7. nipekidogo

    JamiiForums Tanzania Nilichogundua kuwa JP "nabii. Hakubaliki kwao"

    Ngoja nisubili watakaokuelewa naona mimi nimeambulia patupu!
  8. nipekidogo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Clouds Fm sasa kusikika Afrika

    Kuna wale wale walisema clauzi itakufa lkn naona inachanja mbuga tu
  9. nipekidogo

    JamiiForums Tanzania Masela wa Mbagala wajiunga na maandamano ya Marekani

    Nimeishia kucheka tu
  10. nipekidogo

    JamiiForums Tanzania Power Mabula: Mtu aliyetikisa enzi zake!

    Miaka ya 80 mwishoni niliona shoo yake, aliweka mkono chini gari likapita juu ya mkono
  11. nipekidogo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unatumia mbinu gani kupiga show za kibabe?

    Aisee
  12. nipekidogo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa mrejesho wa waliowahi kuoa Mwanamke mwenye mtoto

    Dah pole na hongera man
  13. nipekidogo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ‘Mr Nice’ ameibuka upyaaa!

    Ngoja nisubiri comments za watakaofanikiwa kusoma uzi wote!
Back
Top Bottom