Nilichogundua kuwa JP "nabii. Hakubaliki kwao"

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,418
Kuna mda watu kama ni wanafunzi kwa jambo ukiwaelezea mpaka liwatokee,hakuna binadamu hanaye penda kusema wapi huna fanya wapi umekosea ila mfano mnzuri tu "muulize mlezi wako hata kama baba yako au mama yako wakambo na hupo poa maisha yana kwenda kuwa huna jua makosa sana au mapungufu" jibu kwako .

Siasa zipo hata tuki sema usa ni democracy ya dunia japo wapo tofouti kuanzia haki na polisi government.

Afrika tulijishusha sana mpaka kujiona kuwa sisi tupo chini kutegemea uhuru wa watu wengine wenye ngozi sio sisi?,tunapelekea mpaka kuona sisi na serekali ni waho .!!

Midahaloo mingi kwa kikubwa

Hapa!!!!

Utawala,madaraka,chama,maamuzi,nguvu za dora
Kazi kwenu
images.jpg
 
Kazi kwenuView attachment 1474607
Dah!! Nirudi shule.
 
Unafanya kusudi kuandika yasiyoelewka..
Hongera pia..
 
Kuna mda watu kama ni wanafunzi kwa jambo ukiwaelezea mpaka liwatokee,hakuna binadamu hanaye penda kusema wapi huna fanya wapi umekosea ila mfano mnzuri tu "muulize mlezi wako hata kama baba yako au mama yako wakambo na hupo poa maisha yana kwenda kuwa huna jua makosa sana au mapungufu" jibu kwako .
Siasa zipo hata tuki sema usa ni democracy ya dunia japo wapo tofouti kuanzia haki na polisi government.
Afrika tulijishusha sana mpaka kujiona kuwa sisi tupo chini kutegemea uhuru wa watu wengine wenye ngozi sio sisi?,tunapelekea mpaka kuona sisi na serekali ni waho .!!

Midahaloo mingi kwa kikubwa
Hapa!!!!
Utawala,madaraka,chama,maamuzi,nguvu za dora
Kazi kwenuView attachment 1474607
Nabii wa chatto labda...hv kwnn mnadharirisha manabii ninyi mapimbi?? Kuna nabii aliwahi kuteka watu na kuua?? Acheni upimbi bhana...nabii anasingizia watu kesi za hujumu uchumi??? Duuuh
 
Ngoja nisubili watakaokuelewa naona mimi nimeambulia patupu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] sijui kanywa Wanzuki mwehu huyu hakuna nilichokielewa
 
Hakuna anaepiga K-vant akawa na uandishi huu, hii lazima itakuwa wanzuki tu
 
Kuna mda watu kama ni wanafunzi kwa jambo ukiwaelezea mpaka liwatokee,hakuna binadamu hanaye penda kusema wapi huna fanya wapi umekosea ila mfano mnzuri tu "muulize mlezi wako hata kama baba yako au mama yako wakambo na hupo poa maisha yana kwenda kuwa huna jua makosa sana au mapungufu" jibu kwako .

Siasa zipo hata tuki sema usa ni democracy ya dunia japo wapo tofouti kuanzia haki na polisi government.

Afrika tulijishusha sana mpaka kujiona kuwa sisi tupo chini kutegemea uhuru wa watu wengine wenye ngozi sio sisi?,tunapelekea mpaka kuona sisi na serekali ni waho .!!

Midahaloo mingi kwa kikubwa

Hapa!!!!

Utawala,madaraka,chama,maamuzi,nguvu za dora
Kazi kwenuView attachment 1474607
Nabii au dikteta?
 
Wasiomkubali Jpm ni mafisadi, wauza madawa ya kulevya
Omba uishi mpaka kipindi ametoka madarakani ndio utajua ulichokiandika. Mh rais anafanya kazi, lakini katika mfumo ambao siku akiondoka tu, hata ikibadirishwa katiba na akatawala mpaka mwisho wa uhai wake, ataondoka na Mambo yake yote. Taasisi imara ndio urithi wa mtawala anae ondoka.
 
Nilivyoona "dora" na "waho" nikajua si bure.

Bado hata kuandika Kiswahili hujui, unataka kufanya uchambuzi wa siasa?
 
Back
Top Bottom