Clouds Fm sasa kusikika Afrika

Robidinyo

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
3,733
7,667
"Vision yetu ilikuwa ni kuhakikisha Clouds Fm usikivu wake unasikika pakubwa nchi nzima la pili kuhakikisha East Africa tunaipiga tumeashaanza kupata leseni tulipata tatizo moja tu Kenya kuna rafiki yangu ambaye alikuwa akija hapa anashangaa nilifanya kosa la kumwambia kuwa siku nikiingia Kenya nipe wiki mbili nitakutoa akaenda huko aka-register kila kitu cha Clouds kuanzia Clouds FM, CloudsTV, Primetime, Fiesta kwa hiyo kwa Kenya tutaingia kwa kusajili kwa jina jingine"
.
. "Lakini nchi zingine tumeshafanya usajili kabla ya mwaka huu kuisha tunagetemea kuwepo kwenye nchi moja au mbili" MD Joseph kusaga

Wasafi Media Clouds Siyo Level Zenu Clouds Wapo Next Level, Jitahidini kwanza mfikie Level za E Digtal ndo Mjipambanishe na Clouds Media..
cloudstv_20200609_1.jpg
 
Vp kule uarabuni hawasikiki tena au ilikua changamsha genge enzi zile ingekua kipindi hiki tunaita kiki
 
Pongezi kwao sasa itakuaje kuhusu Lugha? Maana Kiss FM walijaribu ila wameshindwa
 
Wewe sio mzima unalinganishaje Clouds Fm ambayo inasikika nchi nzima na pia ina umri wa kijana ambaye ana mke tayari na Wasafi Fm ambayo bado inajitafuta?
 
Malaamiko yangu kuhusu Clouds Media Group (clouds fm na clouds tv) ni vyema niyaweke hapa maana najua nikifungua uzi wake, unaweza ukafutwa na Mods (it happened before)

Wafanyakazi wao, baadhi hawana maadili ya kazi na katika jamii.
Hapa nitawazungumzia watatu

1. Perfect Crispin, huyu alimkosea Vanessa Mdee live on air kwenye interview, kipindi cha XXL kwenye ile studio yao ya zamani, nadhani ilikuwa 2017, wakati Vanessa amesimama anaongea kwenye mike, Perfect alikuja kwa nyuma akambahishia Vanessa, watu wakacheka mule studio ila Vanessa akageuka hakujua ni kitu gani kimetokea, ila huyu jamaa bado ni mfanyakazi wa Clouds hadi leo. Video ya tukio ipo YouTube waliiweka wenyewe.
Hilo tukio ni sexual harassment simple and clear.

2. Loveness Malinzi "Diva", huyu ndio huwa haguswi pamoja na kufanya vituko mitandaoni.
Miezi 3 iliyopita alijitamba kuwa katembea na Alikiba (mume wa mtu).
Tatizo linakuja pale kuwa yeye ndio anaendesha kipindi cha Mapenzi na mahusiano, sasa anashauri vipi watu kwenye Mapenzi wakati yeye ndio anavunja ndoa za watu?!
Alitolewa on air kwa miezi miwili ila leo yupo on air kama kawa.

3. Mwijaku, huyu jamaa anapenda sifa sana na kujifanya ni fundi wa mapenzi na kuwa kwenye ndoa iliyo "perfect", ila leo kafikishwa mahakamani kwa tuuma za kusambaza picha za uchi (Menina)
Ila hii July kapewa na kipindi cha Leo Tena na clouds Tv yupo na Soudy Brown

Sasa huwa najiuliza hii Clouds Media huwa wanazingatia nini kwenye kuajiri Wafanyakazi wao?!?
Maana hao ni wachache tu ila wenye vituko wapo wengi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom