Wanajamvi poleni kwa majukumu! Kuna tabia wanazionesha na kufanywa na wafanyakazi wa kampuni ya Airtel Mlimanicity hazitufurahishi wateja. Vocha zao hazina ubora ukikwangua namba zilizofichwa ili kuongeza salio zinachubuka na baadhi ya namba kutosomeka, Lakini cha ajabu tangu nianze kuwarudishia...
Ndugu zangu wanaJF inakera sana kufuatilia kipindi ambacho kimejaa wachangiaji waliokosa mvuto, Nashindwa kufahamu Uelewa wao wa Kujenga hoJa, kweli nimeamini Maneno ya Wahenga kwamba 'KWENYE MITI MINGI HAKUNA WAJENZI' nikianza na Wanasheria Uchwara wasiojua Tasnia yao kwa Mapana, kumbe Chuo cha...
Ukamtolee Mungu sadaka sio salamu za maneno pekee haitoshi kuitwa Shukrani kwa Aliyekuneemesha! Mkumbuke Muumba wako siku za UJana wako na Kumtolea pia.
Mbona kula vizuri na kulala vizuri haujalizungumzia?
Usitegemee mwanafunzi alale koridoni mbu kuwa ndo shuka lake na kulala watatu kitanda kimoja ni sahihi no better performance itapatikana kutokana na matatizo yanayowapata wanafunzi kwasasa! Mwezi hakuna pesa za chakula unategemea nini? Muda...
Hardware!!! Hardware!!! Hardware!!! Hardware!!! Hardware!!! Hardware!!!
Ndicho chakula kikubwa kwa wanafunzi hasa wa chuo kikuu cha Dar es salaam na unatengemea ufaulu mzuri kwa wanafunzi, Labda ila hili nalo neno!!
Ameona ni sahihi kuyasema ya ndani ya Bunge kwa wananchi kitu ambacho ni kinyume na kanuni za Bunge.
Kila wakati tumeshauri kuwachagua watu makini na wanaojenga hoja za msingi katika kuleta maendeleo.
WanaNJombe wanamatatizo ya kukaa na kuyajadili na hatimaye yapelekwe bungeni na mwakilishi...
Ndugu zangu wahitimu wenzangu wa mwaka 2002 kidato cha nne, katika shule ya ALDERSGATE Mpo wapi Jamani?
Najua maisha ni mtenenange unaotutenganisha tulio wengi, ni vizuri tukakumbukana na kuwasiliana kwa ukaribu tukikumbuka enzi hizo za Babu yetu Mbesere na Chai na vinginevyo tulivyokuwa...
Stammary!! Stammary!! Stammary!! Kigugumiz!! Kigugumiz!! Kigugumiz!! Unadhani nimekua stooge? Hapana nashindwa kulitolea ufafanuzi na Mwafaka 'JANGA HILI LA KITAIFA' Juzi nimeongea vizuri tena wengi wenu mmeniona katika vyombo vya habari juu ya 'Kubadilisha mitaala ya Elimu kama si mfumo wenyewe...
Nyie mwalilia kucheleweshewa bumu ikiwa tulio wengi hatufahamu hilo bumu, na chakushangaza wanaUDSM pindi wanaandamana kutetea 'usawa' hasa kwa walikosa mikopo na Kuandikiwa 'NO LOAN' Wengi mlitucheka na vijembe vingi, pamoja na kauli ambazo zingestahiki kutolewa na watoto wa chekechea 'ati...
Hawa Je mbona umewatenga? Kumbuka mfumo wa vyama vingi mambo ya picha na kivuli hakuna tena, Kuna wagombea wengine kama;
1. William J Malecela
2. Happiness Elias
Lugiko
3. Geoffrey
Mwambe (mchumi Benki kuu)
4. Malenya Ngollo
5. Zainab Amir...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.