Boom, boom, boom!

Hakuna bum. Hakuna wanaharakati.2lioko mtaan 2nasubri bum 2je. Rb watashusha 2 bei. Mi nitaongoza ruti kwenda kwa mapacha wa3 cku ya j3 tar 5/3 asubui. Aafu muache uoga...................solidarity..................................................
 
government inatujarib inabid tuuwashe moto maana tukiuchuna watazoea so guys tuze vyuon tuanze harakat
 
Hakuna bum. Hakuna wanaharakati.2lioko mtaan 2nasubri bum 2je. Rb watashusha 2 bei. Mi nitaongoza ruti kwenda kwa mapacha wa3 cku ya j3 tar 5/3 asubui. Aafu muache uoga...................solidarity..................................................

......4rever! Wacha nikope japo nauli ya kujia huko chuon ili kuongeza nguvu revo square hiyo j3.
 
Poleni, mnafungua chuo na Ngororo hamna!! enzi zetu hatukukubali hii, saa hizi kunji tayari zamani...
 
hahahahaaa. Nauli yenyewe anakopa, sasa ya kula sijui ataipata wapi, labda wampeleke Keko akapate msosi wa bure.

sa hzi ni mwendo wa code 001 kijana wangu,anasa za kupga code 101 au 111 tuziache.
 
embu nifafanulie kdogo kuhsu hzo code zako.

code 001-unakula usiku kwa usiku tu.
Code101-unakula asubuhi na ucku thn mchana unapga deshi.
Code111-unafanya anasa kwa kula milo mitatu kwa siku{yani asubuh,mchana na ucku}.mkuu uko udsm afu huzijui hzi codes,yaelekea we ni wa kishua eeeh?
 
mwana hapo nimekusoma usihof, sio kila jambo liko common kwa wote mzaz hicho chuo kikubwa mzee.
 
Naomba root please, wana udsm semister hi ntakuwa mwanaharakati halisi,
 
Poleni, mnafungua chuo na Ngororo hamna!! enzi zetu hatukukubali hii, saa hizi kunji tayari zamani...

Toka wawafukuze akina EMEKA nani atasimama pale rev square? Unacheza na mkandala na wapambe wake nini? Watu nywee saizi nani aseme Njaa njaa, ukisema 2 ukipita cafteria pale unakuta postal ya kwenda kuchukua barua auxilliary.UNACHEZA NA UDSM NINI WEWE.Pashaoza sa hizi mzazi,
 
Hardware!!! Hardware!!! Hardware!!! Hardware!!! Hardware!!! Hardware!!!
Ndicho chakula kikubwa kwa wanafunzi hasa wa chuo kikuu cha Dar es salaam na unatengemea ufaulu mzuri kwa wanafunzi, Labda ila hili nalo neno!!
 
Back
Top Bottom