Misemo inayotingisha mahakamani

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,800
Tukumbushane misemo inayotingisha Mahakamani:
1.Msomi mwenzangu(My Learned brother/Sister)-Wakili anapomtaja Wakili mwingine Mahakamani

Karibuni wana JF..
 
Tukumbushane misemo inayotingisha Mahakamani:
1.Msomi mwenzangu(My Learned brother/Sister)-Wakili anapomtaja Wakili mwingine Mahakamani

Karibuni wana JF..

wanavyoitanaga msomi mwenzangu hunikosha sana hawa jamaa!!!unakuta mtu katandika suit yake ya adabu chini mkwaju wa maana maconfidence ya hatari!dah.....nawakubali sana wenye taaluma hii kuanzia mionekano ya mavazi mpaka wengi wao vichwa vyao vinavyochemka japo miaka ya karibuni naona fani imevamiwa hasa baada ya ujio wa Tumaini University ambapo hata kilaza anavishwa joho!
 
Kumbuka kila neno na kila kitendo unachofanya kinaongozwa na sheria furani,kuropoka kunaweza kukusababishia matatizo makubwa sana katika dunia hii,unapoamua kuropoka tena kwa kutaja jina la chuo unakuwa una maana gani,?ukiambiwa upeleke evidence unaweza,?jamii inakuangalia kwa jicho tofauti sana kijana husika,try to be indirect so as to be safe.it seems that ethics to you is not part and parcel of ur life.take care
 
'Naomba mahakama inihurumie, ninategemewa na watoto na wazee wangu wananitegemea'
'maelezo yalisomwa si sahihi, nililazimishwa'
 
Shufaa, Maombolezo, Wadaawa, Henzerani, Shauri, Daawa, Kuitwa shaurini, misemo inayotumika mahakama za mwanzo ambako kiswahili ndio lugha ya mahakama.
 
wanavyoitanaga msomi mwenzangu hunikosha sana hawa jamaa!!!unakuta mtu katandika suit yake ya adabu chini mkwaju wa maana maconfidence ya hatari!dah.....nawakubali sana wenye taaluma hii kuanzia mionekano ya mavazi mpaka wengi wao vichwa vyao vinavyochemka japo miaka ya karibuni naona fani imevamiwa hasa baada ya ujio wa Tumaini University ambapo hata kilaza anavishwa joho!
Mbona hao vilaza wa Tumaini ndio wengi wanamaliza fasta Law skuli ukilinganisha na majiniazi wa UDSM? kuna siri gani hapa?
 
Flagrante Delicto - the only evidence requred to convict him is to prove tha fact.
Mens Rea - Guilty mind
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom