acha upotoshaji kwanza hueleweki, au umekop na kupest mzee babu zangu walikula dona kwa muda wa miaka 98 bila tatizo lolote, labda ushauri watu wasihifadhi mahindi kwa madawa makali unaeza eleweka kidogo
nina mpango wa kuanza ufugaji wa nguruwe sasa nashindwa kupata namna ya kujenga mabanda kwa ajili ya hao nguruwe, naomba ushauri wa jinsi ya kujenga mabanda ya kisasa coz nataka nitumie tofali na sio mabanzi, pia nataka kufahamu vipimo kwa kila chumba na idadi ya nguruwe kwa kila chumba...
mayai yenye kutibu angalau katika kiwango flan ni yale ya kwale waishio porini kwani huwa wanakula wadudu mbalimbali na vyakula vingine vinavyopatikana huko porini, sasa ukishawatoa kule nakuwafuga nyumbani kama kuku, mayai yanakua hayana tofauti na yale ya kuku wa kisasa kwa sababu wanapewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.