TAESA kuna nafasi nyingi za Kazi

mkadiriajimajenzi

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
549
613
Aliyesoma kozi zifuatazo na hana kazi apeleke Cv yake TaESA kuna nafasi kibao hazina watu;
1.Bsc ELECTRICAL ENGINEERS
2.LAND SURVEYORS
3.MECHANICAL ENGINEERS
4.CHEMICAL AND PROCESSING ENGINEERS
5.ELECTRICAL INSTRUMENTATION OPERATORS
6.QUANTITY SURVEYORS
 
mbona hakuna Adress kwetu sie wageni tutafikaje huko
 
Tanzania Employment Service Agency (TAESA) wapo chini ya wizara ya kazi na ajira Dsm opposite na chuo cha DIT
 
Aliyesoma kozi zifuatazo na hana kazi apeleke Cv yake TaESA kuna nafasi kibao hazina watu;
1.Bsc ELECTRICAL ENGINEERS
2.LAND SURVEYORS
3.MECHANICAL ENGINEERS
4.CHEMICAL AND PROCESSING ENGINEERS
5.ELECTRICAL INSTRUMENTATION OPERATORS
6.QUANTITY SURVEYORS

ma dj tuna kazi kweli!
 
Mfano me nipo Singida nawapata wapi hao TaESA?
 
Mfano me nipo Singida nawapata wapi hao TaESA?

Muda mwingine muwe serious bana! JF uliingiaje na kuandika ushindwe kudodosa tovuti?

TaESA
taesa.go.tz/
The responsible officers advise jobseekers on the preparation of CVs and distribute them to potential employers when requested to do so. TaESA conducts ...
 
Kuingia ni issue nyingine na kudodosa ni issue tofauti. Asante kwa taarifa
 
Kuingia ni issue nyingine na kudodosa ni issue tofauti. Asante kwa taarifa

Ndiyo maana nimeshauri muwe mnadodosa!
Mchina amewawezesha wengi kwenye dunia hii ya tehama basi tumieni kwa mambo ya kujenga siyo mipasho za facebook na JF tu!. Changamkia nafasi hizo kama uko na fani kujaribu siyo kushindwa! Hata wale 1500 walifika uwanja wa Taifa wakipigania kupata nafasi kati ya 70 tu zilizopo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom