Mwenye update ya hawa TTCL Kuhusu Usaili kwa nafasi za March 2015

niko poa

Member
Apr 17, 2015
11
2
Kuna nafasi mbalimbal walitangaza tangia March 2015, au watu walishaanza kazi tayari.
 
Mimi hata wakiniita kazini siendi…Kama recruitment process inachukua muda mrefu kiasi hiko, hiyo mishahara si itatoka tarehe za Sitini huko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom