Tatizo kubwa la Sam ni kuwa anataka yeye amiliki meza ya mazungumzo hafu mtu ajibu kama Sam anavyotaka. Hilo neno la kumuuliza mheshiwa Rungwe anaropoka amelitamka kwa makusudi kwa makusudi ili kumvunja nguvu kwa kile Rungwe alichokuwa akielezea kuhusu uzoefu wa Clearing na fowarding bandarini...
Haya majamaa ya south yalitakiwa kujifunza hata kwa wema waliotendewa kwa kupewa hifadhi hata Tz wakati wa apartheid system lakini naona Wivu, chuki dhidi ya wageni vinawasumbua.
Sasa naamini kuwa Siasa ni mchezo mchafu kwa kutokana na kura zinavyoonyesha kwa Trump ambaye hakuaminiwa na wengi kuwa atashinda lakini mambo yanakuwa opposite, ngoja tusubiri mpka mwisho wa mchezo.
Tatizo lingine naliona hapa SAUT wanafunzi wasiokuwa na kipato unapoanza kujiunga ni vigumu kwani wana kitu kinaitwa Administrative costs kilichoanza 2006 na bado unatakiwa ulipe nusu ya tuition fees,sasa kwa wanafunzi walio wengi ambao wanatoka familia maskini hupatwa na tatizo kama hilo la...
Majina ya kishari na shombo yanatoa picha ya mtu kutoelimika. Ally Kiba hajasema kamzidi wizikid bali ni tafsiri za watu katika comments ambazo zinaweza kuwa sahii au uongo.
Na wewe naona unatuaminisha kuwa uwezo wa kufikiri umeishia hapo fuata ushauri kama alilpewa jamaa anayeshadadia kuwaita wenzie papuchi sasa na wewe naona dumeshupa lipo mdomoni mwako.
Mtu kukujibu usivyopenda kunategemea umetumia approach ipi na aina ya maswali uliyouliza. Unaweza swali la kishari ni wazi unaweza jibiwa kishari, au ukawa hayuko kwenye moody nzuri ya kukujibu unavotaka.... Ni mawazo yangu.
Naona comment nyingi ni za ki team na sio positive nilitegemea kuwa watu mngetoa ushauri unaojenga ili kufanya wasanii wetu warekebishe pale palipo na tatizo but naona ni discouragement zaidi. Kiba amekosea kama wasanii wengine ambavyo hufanya kwani hata Mondi kuna fiesta moja iliwahi fanyika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.