Hivi ni kwanini wanawake wa kizazi cha sasa wanavaaga kaptula ya jeans ndani badala ya chupi?

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,796
Kadri siku zinavyoenda huenda wakatembea bila ya nguo yoyote ndani, kuna mdada jirani yetu anajidai sana. Sasa juzi kumbe kuna jamaa anamfahamu anakaa nae nyumba moja, sasa wakati yule dada kaja gengeni jirani kidogo na ninapokaa akawa anaongea maneno ya kashfa fulani kwa wadada wenzake, kumbe yule jamaa alisikia yale maneno ndipo alipoamua kumtolea uvivu akamwambia laivu bila chenga kuwa ''na wewe uache tabia yako ya kuvaa kikaptula cha jeans ndani uwe unavaa chupi kama wadada wenzako''

Yaani pale lilianza timbwili la kufa mtu walijaa watu kibao pamoja na wakina mama wate walimrudi yule dada akanywea balaa, kumbe inasemekana hua anavaa hivyo ili aonekane ana wowowo, yule dada aliona aibu sana.

Ushauri wangu kwa dada zangu humu, ritdhikeni na miili mliopewa na Mungu wenu.
 
Kadri siku zinavyoenda huenda wakatembea bila ya nguo yoyote ndani!kuna mdada jirani yetu anajidai sana!!sasa juzi kumbe kuna jamaa anamfaham anakaa nae nyumba moja!!sasa wakati yule dada kaja gengeni jirani kidoho na ninapokaa akawa anaongea maneno ya kashfa fulani kwa wadada wenzake!kumbe yule jamaa alisikia yale maneno ndipo alipoamua kumtolea uvivu akamwambia laivu bila chenga kuwa na wewe uache tabia yako ya kuvaa kikaptula cha jeans ndani! "Uwe unavaa chupi kama wadada wenzako :yaani pale lilianza timbwili la kufa mtu walijaa watu kibao pamoja na wakina mama wate walimrudi yule dada akanywea balaa!!kumbe inasemekana hua anavaa hivgo ili aonekane ana wowowo!!yule dada aliona aibu sana!!
Ushauri wangu kwa dada zangu humu!!rithikeni na miili mlopewa na mungu wenu!!
kikaptula cha jeans hakiongezi makalio sema kuna vigodoro watu huwa wanavaa yaani skin tight ina mahips na makalio,,,,,,,,,

cc zarina dayamond
 
Kadri siku zinavyoenda huenda wakatembea bila ya nguo yoyote ndani!kuna mdada jirani yetu anajidai sana!!sasa juzi kumbe kuna jamaa anamfaham anakaa nae nyumba moja!!sasa wakati yule dada kaja gengeni jirani kidoho na ninapokaa akawa anaongea maneno ya kashfa fulani kwa wadada wenzake!kumbe yule jamaa alisikia yale maneno ndipo alipoamua kumtolea uvivu akamwambia laivu bila chenga kuwa na wewe uache tabia yako ya kuvaa kikaptula cha jeans ndani! "Uwe unavaa chupi kama wadada wenzako :yaani pale lilianza timbwili la kufa mtu walijaa watu kibao pamoja na wakina mama wate walimrudi yule dada akanywea balaa!!kumbe inasemekana hua anavaa hivgo ili aonekane ana wowowo!!yule dada aliona aibu sana!!
Ushauri wangu kwa dada zangu humu!!rithikeni na miili mlopewa na mungu wenu!!
Wewe na huyo rafiki yako badala ya kushughulikia kutafuta pesa ziwasaidie kimaisha nyie mmekalia kuchunguza fulani kavaa nini?! Muda wa kuchunguza jirani kavaaje mnautoa wapi?
 
Acha kabisa! Ni wazi jeans ngumu kuliko pichu ni sbabu ya akina dada wengi kutojikubali na kutaka sifa ya kuonekana wana maumbile makubwa ya makalio.
 
Kadri siku zinavyoenda huenda wakatembea bila ya nguo yoyote ndani, kuna mdada jirani yetu anajidai sana. Sasa juzi kumbe kuna jamaa anamfahamu anakaa nae nyumba moja, sasa wakati yule dada kaja gengeni jirani kidogo na ninapokaa akawa anaongea maneno ya kashfa fulani kwa wadada wenzake, kumbe yule jamaa alisikia yale maneno ndipo alipoamua kumtolea uvivu akamwambia laivu bila chenga kuwa ''na wewe uache tabia yako ya kuvaa kikaptula cha jeans ndani uwe unavaa chupi kama wadada wenzako''

Yaani pale lilianza timbwili la kufa mtu walijaa watu kibao pamoja na wakina mama wate walimrudi yule dada akanywea balaa, kumbe inasemekana hua anavaa hivyo ili aonekane ana wowowo, yule dada aliona aibu sana.

Ushauri wangu kwa dada zangu humu, ritdhikeni na miili mliopewa na Mungu wenu.
Hiyo sheria ya kuvaa chupi ilitungwa na nani, kuvaa kaptura ni kosa? Kutovaa je?
 
Wewe na huyo rafiki yako badala ya kushughulikia kutafuta pesa ziwasaidie kimaisha nyie mmekalia kuchunguza fulani kavaa nini?! Muda wa kuchunguza jirani kavaaje mnautoa wapi?
Umesahau mkuu ni watu wa wawapi au? Mkoa pendwa
 
Halafu ni huyo mmoja au unamjua na mwingine?,sasa kusema wadada ulikuwa na maana gani labda?
 
kwa kila hali kiki na umaarufu unatafutwa a
iseee kazi kwelikweli yaani badala ya kuwaza maisha watokeje au wafanyaje kazi unawaza kuvaa
kweli we differ
 
Kadri siku zinavyoenda huenda wakatembea bila ya nguo yoyote ndani, kuna mdada jirani yetu anajidai sana. Sasa juzi kumbe kuna jamaa anamfahamu anakaa nae nyumba moja, sasa wakati yule dada kaja gengeni jirani kidogo na ninapokaa akawa anaongea maneno ya kashfa fulani kwa wadada wenzake, kumbe yule jamaa alisikia yale maneno ndipo alipoamua kumtolea uvivu akamwambia laivu bila chenga kuwa ''na wewe uache tabia yako ya kuvaa kikaptula cha jeans ndani uwe unavaa chupi kama wadada wenzako''

Yaani pale lilianza timbwili la kufa mtu walijaa watu kibao pamoja na wakina mama wate walimrudi yule dada akanywea balaa, kumbe inasemekana hua anavaa hivyo ili aonekane ana wowowo, yule dada aliona aibu sana.

Ushauri wangu kwa dada zangu humu, ritdhikeni na miili mliopewa na Mungu wenu.
Ni nyie mnasababisha haya mambo ya kuangalia wenye mizigo na chura kama mimi mkiona tu mimate inawajaa sijui michura mnafanyiaga nini?
 
í ½í¸…í ½í¸…í ½í¸…í ½í¸… hiii mpya, siku hizi wadada wengi hata kuvaa chupi ni tabu maana inabana!! Unapga dera lako chuku chuku unaenda puyanga Kariakoo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom