Recent content by Niezzle

  1. Niezzle

    Used Tecno M3 ....bei ya baridii

    Picha...
  2. Niezzle

    Should abortion be legal or illegal in Tanzania?

    Abortion is illegal and let it stay that way, though there are some exceptions.
  3. Niezzle

    Nafika tu nyumbani si nikanuswa…….c-h—u-p--i ,kumbe hata yenyewe niligeuza

    Pole sana il a ni vizuri umeacha..mkeo anakupenda sana inaonyesha hadi kakusamehe, inabidi umheshimu na kumjali
  4. Niezzle

    Bodaboda, Bajaji, Daladala, Taxi sasa marufuku.

    Aiseeee unatania sasa.
  5. Niezzle

    Utando Mweupe Wakati wa Kujamiiana....(Ishara ya Uaminifu ndani ya mahusiano)

    :israel::israel:ha ha ha ha>>nimeipenda hii naomba nifanye research kwanza then nitoe comments zangu
  6. Niezzle

    I am still in love with my first love.

    Jipe muda kwanza wa kutosha( the best medicine of a broken heart is time) wat ua trying to do is to replace her which is not right. Wewe jipe muda na accept kwamba mmeacha na move forward.
  7. Niezzle

    Tanzania govt on Homosexuality: We can do without UK aid

    Huu ni ukoloni mamboleo tujitoe tu...kwanza hatupati faida yeyote
  8. Niezzle

    Kutoa kichapo

    mwanaume kumpiga mpenzi/mke wake ni kitendo cha udhaifu na sihafiki nacho kabisa....
  9. Niezzle

    eti 'HAKUNAGA'..

    hakunaga....huu wimbo una hit na unaharibu lugha sana....na utashangaa anapewa award he he he he tanzagiza ndo hii
  10. Niezzle

    Hivi tafsiri ya 'Breaking news' ni 'Habari mpasuko'?

    nafikiri tafsiri sahihi ni habari zilizojiri/iliyojiri
  11. Niezzle

    classy Lawfirms and advocates.

    classy law firms where the poor cant afford.........
  12. Niezzle

    Kipi bora: LLM Vs Law school?

    I agree wit you ....ila kwa system yetu ya sasa hivi you cant escape LST na utashangaa wengi wanaoshindwa kufaulu ni wale wakali....
  13. Niezzle

    Ujinga watu hufanya facebook!

    ku fake life...watu wanaishi maisha ambayo ni ya kusadikika, wanayo post sio kile wanachofanya au kutokea....
  14. Niezzle

    mama anapofungwa na kichanga

    mama mwenye mimba anapohukumiwa kifungo na kisha akajifungulia jela , hapo inabidi atumikie kifungo yeye pamoja na mtoto wake mchanga ili aweze kumpa mahitaji yake muhimu.. je hapa si sawa na kumfunga mtoto ambaye hajafanya kosa? kama kuna mdau ana ufumbuzi au anajua sheria juu la hili tafadhali...
  15. Niezzle

    Kipi bora: LLM Vs Law school?

    Law school kwanza..ili uweze ku practise sheria lazima uwe umepita law school kwanza. manufaa ya kwenda law school ni kwamba unajifunza technicalities za sheria na drafting of different legal documents, pia field ya law school itakusaidia sana kujua vitu kwa vitendo kwa vile utakaa kote kwenye...
Back
Top Bottom