classy Lawfirms and advocates.

The Finest

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
21,615
5,966
FB Attorneys
SNR Denton
Donaldson Wood Advocates
Hallmark
Law Associates
Mark and Associate Attorneys
 
mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,230
7,153
Law & associates
Imma advocates
Mkono Advocates
Fungamtama
Karume
Kalunga
Rex attorneys
Heh heh hizi Law firms balaa kila kwenye dili chafu zipo,usitegemewe ukiwa lofa utasaidiwa na hizi firms,hawa waheshimiwa ni ma tycoon si kwa weledi wao bali kushiriki kwenye ufisadi wa aina mbalimbali kwa kuwatumia wateule,ukiaangalia hizo firms zina ma Godfather serikalini na katika idara nyeti zote ,kuna wengine humu kwenye firms tumesoma nao na walikuwa watu wa kawaida tu kwenye kubukua lakini ajabu hivi sasa wakisimama hata aje wakili gani watashinda-hizi kampuni ni aibu na mzigo kwa taifa ambalo limewasomesha na sasa wameligeuka kwa kulihujuma kwa kutumia taaluma yao
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
90,765
104,924

Good observation. If anything most of these law firms are trashy than classy!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom