Ujinga watu hufanya facebook!

The Priest

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
1,031
256
1.Kubadilisha relationshp status kila siku,asbh upo "single" mchn "in a relationshp",jioni its complicated,ucku "married" bdae divorced,
2.Kuweka status kwa kila unachofanya hata vya kipuuzi.
3.kuadd kila mtu eti kisa ame like post yako mahali.
4.kutongoza kila demu anaeku2mia frnd request
5.kila mtu kuweka homeplace dsm kana kwamba sehemu zngne hazibambi.
6...
Weka ujinga mwingne watu hufanya fb.

fundiaminy

JF-Expert Member
Jun 4, 2009
355
51
sio kila kinachopita fb huwa ujinga ila kwa madume wenzangu kuna hii nimeipata itatupa muelekeo 2napojichanganya fb.

Facebook Tips for Men:
When a girl accepts your Friend
Request, It means she accepted
your FRIENDSHIP, not your
PROPOSAL.
When a girl sends you a Friend
Request.. It means she wants to
be your FRIEND and not your
GIRL FRIEND.
When she comments on your
posts… It mean she’s just being
SOCIAL and not FLIRTING.
So, respect FRIENDSHIP and don’t
start searching for
RELATIONSHIP.

Yasmin

JF-Expert Member
Jul 28, 2011
242
57
I like no.1.
Ujinga giving out ur details 2 some1 u doesn't even knw

The Priest

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
1,031
256
Kuexpose family issues zenu fb,eti "i loath u dad" eti cjui my mam thnk...." au "i hate my family",fb aint ur diary so dnt expose issue zako kule,and not all frnds on fb r ur frnds!

Niezzle

Member
Jan 26, 2011
19
1
ku fake life...watu wanaishi maisha ambayo ni ya kusadikika, wanayo post sio kile wanachofanya au kutokea....

The Priest

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
1,031
256
sio kila kinachopita fb huwa ujinga ila kwa madume wenzangu kuna hii nimeipata itatupa muelekeo 2napojichanganya fb.

Facebook Tips for Men:
When a girl accepts your Friend
Request, It means she accepted
your FRIENDSHIP, not your
PROPOSAL.
When a girl sends you a Friend
Request.. It means she wants to
be your FRIEND and not your
GIRL FRIEND.
When she comments on your
posts… It mean she’s just being
SOCIAL and not FLIRTING.
So, respect FRIENDSHIP and don’t
start searching for
RELATIONSHIP.
kama wote 2ngezingatia hilo fb isingekuwa tatizo.thanks

King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,802
24,505
asante sana fundi!
nyingine watz hatufuati instructions. wenye fb yao wanasema kabisa ukiangalia profile ya mtu ' if u know king'asti, send her friendship request'

Asante sana mkuu.nilianzia fb kabla sijajiunga na jf na sijapata kukwazika na popote pale kwa kuwa ninazingatia Terms and Conditions za social networking.

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,601
1,676
1.Kubadilisha relationshp status kila siku,asbh upo "single" mchn "in a relationshp",jioni its complicated,ucku "married" bdae divorced,
2.Kuweka status kwa kila unachofanya hata vya kipuuzi.
3.kuadd kila mtu eti kisa ame like post yako mahali.
4.kutongoza kila demu anaeku2mia frnd request
5.kila mtu kuweka homeplace dsm kana kwamba sehemu zngne hazibambi.
6...
Weka ujinga mwingne watu hufanya fb.

Nionavyo mimi! Kila mtu ana uhuru wa kufanya atakacho pia kumbuka " Kutukanana na kichaa hutaonyesha tofauti yako wewe na huyo kichaa" wote mtaonekana vichaa, Sasa ukitukanana na hao unao waita wajinga mie pia nitakuona mjinga

fundiaminy

JF-Expert Member
Jun 4, 2009
355
51
asante sana fundi!

nyingine watz hatufuati instructions. wenye fb yao wanasema kabisa ukiangalia profile ya mtu ' if u know king'asti, send her friendship request'

pamoja sana king.yote yanaletwa na kutoelewa maadali ya social networks.ila silaumu anaekejeli fb kwa kuwa kila binadam ni dhaif kwa njia moja au nyingine.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Top Bottom