Recent content by Nicotompa

  1. N

    JamiiForums Tanzania "Mimi ni gamba, tena nene"

    The man is the real Great Thinker!
  2. N

    JamiiForums Tanzania PICHA NA MATUKIO MAPOKEZI- IGUNGA Dk. Kafumu

    Ila jamaa ni mabingwa wa kusomba watu kwa malori toka vijijini ili kujaza umma jana nilishuhudia harakati hizo toka asb kiufupi CCM haina mvuto kwa wananchi.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nape kuunguruma Igunga leo

    Ndugu wanajukwaa! Leo kulikuwa na mkutano wa magamba hapa Igunga na matarajio yangu ni kusikia hoja zenye mashiko kuhusu hali ya wananchi wa hapa ila cha kushangaza kila aliyepanda jukwaani ni kashfa na kejeli dhidi ya CHADEMA.Sasa kwa upande wangu sijafurahishwa na maudhui ya mkusanyiko huu...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Show ya diamond akichambua na kulinganisha viuno vya akina dada- uk

    Ila huyo mdada hatamjambia huyu mtani wangu wa kasulu kigoma?maana alivyobinua makalio utadhani kamebanwa na haja kubwa?
  5. N

    JamiiForums Tanzania Waraka Mwl Shukia kwa Mwigulu Nchemba

    Nadhani km ningekuwa mm ndo Mwigulu Nchemba ningeachia ubunge kwani ikifikia watu wanakuchukia kwa kiwango hicho basi kuna tatizo.Juzi juzi nilipitia hapa jukwaani kukawa na story nyingi za watu kutomkubali mwana CCM huyu,mpaka wamefika mbali kumuita mzinzi au kumuombea kifo?take it 4m mwl...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Hukumu Kesi ya Ponda, ahukumiwa kifungo cha mwaka mmoja nje

    Si nilisikia watajengewa upya na Serikali?au mchakato ukoje?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Hukumu rufaa ya CCM ya ubunge wa Igunga kusomwa kesho

    Taarifa za haraka haraka ni kwamba CCM wamebeba jimbo Dr. Dalali Kafumu kachukua ubunge IGUNGA.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Majina ya vituo vya daladala sehemu mbalimbali

    Mbagala rangi 3, mbagala Zakhem, mbagala kizuiani, kipati, mbagala sabasaba{kwa mpili}, mbagala misheni{ktm},msikitini, mtoni mtongani, mtoni kwa azizi alli,saba saba,uhasibu,taifa,chuo,kona ya taifa,njia panda keko,veta,karume,boma,msimbazi center,kona ya kigogo,mikumi,magomeni hosp,moroco...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Majina ya vituo vya daladala sehemu mbalimbali

    Rangi3, Zakhem, kizuiani, kipati, sabasaba{kwa mpili}, misheni{ktm},msikitini,mtoni mtongani, mtoni kwa azizialli, saba saba, uhasibu, taifa,chuo{duce}, kona ya taifa, njia panda, keko, veta, karume, boma shule, msimbazi center, kona ya kigogo, mikumi, magomeni hosp, moroco...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Majina ya vituo vya daladala sehemu mbalimbali

    Rangi3, Zakhem, kizuiani, kipati, sabasaba{kwa mpili}, misheni{ktm},msikitini,mtoni mtongani,mtoni kwa azizi alli,saba saba,uhasibu,taifa,chuo,kona ya taifa,njia panda keko,veta,karume,boma,msimbazi center,kona ya kigogo,mikumi,magomeni hosp,moroco hotel,mkwajuni,studio,manyanya,kinondoni...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Sakata la Bomu Arusha: FBI watua nchini, EU wadai Udini ni chanzo, ukomeshwe

    Kumbe wawekezaji nao siku hizi huja na vigezo vya dini?
  12. N

    JamiiForums Tanzania miaka 5 ya ndoa uume hausimami,atumia ulimi tu kumridhisha mkewe

    Vibrator inatoa manii?so ni sawa na kazi bure
  13. N

    JamiiForums Tanzania Hebu cheki hapa!

    Ila mke alimsababisha mumewe kujipiga vidole hv kweli jamaa aliweza kula chakula cha usiku tena kwa kiwango kile kile?
Back
Top Bottom