Waraka Mwl Shukia kwa Mwigulu Nchemba

Waraka Mwl Shukia kwa Mwigulu Nchemba

Maskini kucha na meno ya mwalimu huyu. Mwee akikujua tu umeumia. Jitu limelaanika hilo!
 
Nchemba ni vyema akachukua huu ushauri, angalia wakina Deo filikunjombe wanafanya nini, ni wana ccm wenzako lakini wanajitahidi kwa nnafasi zao kufanya kilichowapeleka mjengoni.
 
Last edited by a moderator:
...alikuwepo Tambwe Hiza,leo yuko wapi!?...CCM wakishakutumia watakutupa kama ile karatasi ya msalani au ile mipira ya kiume...
 
Dah maneno mazito sana haya...ngoja nirudie tena kusoma...ntarudi baadaye.....
 
Mm kuanzia mwanzo nilijua huyu mwigulu atakuwa chizi
 
Take it from me " Mwigulu is the source of All evils within Tanzania", However his survival in political war will end up simultaneously with Jakaya's Chairmanship.

Hapa umemsingizia huyu mtoto mdogo sana! Kwani kafanya nini huyu cha ajabu?
 
Hata vijana wa Lumumba wameshamjua huyu jamaa ni hovyo kabisa. Ndio maana mpaka sasa lumumba kimyaa. Wanashindwa hata waanzie wapi kumtetea!
 
Gaidi Nchemba.jpg
Kuwa makini mwalimu usije kuwa mlengwa hapo!.
 
Du! Kumbe jamaa ana mke, lakini kichwani ndiyo debe hali achi kutika!
 
Niushauri mzuri ila mwacheni wanamtumia mwisho wake atatupwa kama wengine tu. Mifano iko nyingi tu lakini kawa kipofu
 
mwigulu ni janga kila kukisha nivituko..anafanya mambo ya kihuni na kipuzi...ana zidi kuiuwa ccm kila kukicha! hafai kuwa hata balozi wa nyumba kumi....uyu jamaa ana penda sana sisa za chuki, hafai kuwaigwa katka jamiii
 
For future Mwigulu ana hali mbaya hata ktk maisha yake atakayoishi na jamii inayomzunguka
 
Mwigulu since wamshtukie kwa mambo yake ya ajabu ajabu amekimbia humu ndani haingii tena kujibu hoja zake za kijinga.
 
Nadhani km ningekuwa mm ndo Mwigulu Nchemba ningeachia ubunge kwani ikifikia watu wanakuchukia kwa kiwango hicho basi kuna tatizo.Juzi juzi nilipitia hapa jukwaani kukawa na story nyingi za watu kutomkubali mwana CCM huyu,mpaka wamefika mbali kumuita mzinzi au kumuombea kifo?take it 4m mwl shuria jamaa anakupenda na ni mzalendo kwako.
 
Back
Top Bottom