BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,079
Mweh! nyie madada wa UK (show ilipofanyika) kwapa hizo hata lemons zinasafisha. matumbo sasa, jamani kateni hayo matumbo..mmejaa kila mahali hadi viuno vimekuwa kama makabati.. Nguo sasa, kuvaa nguo fupi si mbaya ila ikufit vizuri mwilini mwako siyo kama ya kuazima. Ingieni hata primark kama debenhams na river island hapatoshi. EWW!!!
