Iringa maeneo mengi kuanza na herufi I kuna nini?

Iringa maeneo mengi kuanza na herufi I kuna nini?

Chanazi

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2010
Posts
212
Reaction score
72
Hivi watu wa Iringa kwanini maeneo yetu mengi mkoani kwetu yana majina yanayoanzia na herufi I!? Mfano Iringa yenyewe, Ilembula, Ipogoro, Igumbilo, Ifunda, Ilula, Isupilo, Itengulinyi, Ipamba, Imalutwa, Isimani, Image, Idete, Ilole, Imalinyi Ihomasa, Ikungwe, Igunga, Ihaami, Ihemi, Igula, Idodi, Izazi, Ihimbo, Itimbo, Itamba, Igingilanyi, Ilamba, Igeleke, Ifwagi, Ikonongo, Ikongosi, Ihanu, Ikanga, Ihefu, Ibwanzi, Ihalimba, Ilogombe, Ihazutwa, Idenyimembe, Igomba, Itengure, Isimkinyi, Itengero, Iyayi, Ikurimambo, na mengine meeeengi., nipe jibu kama huelewi tuma huu ujumbe kwa mwana Iringa mwenzio mpaka kieleweke.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Iringa na majina kuanza na I ni kutokana na lugha ya kihehe kutaja maeneo kwa kuazia na neno KWI....,mfana; kwihala mana yake porini. Hivyo Kwi.. ikitafsiriwa kiswahili kw inaondolewa na kubakiwa na I. MNYALU ORIGINAL. Nawakilisha
 
Iringa na majina kuanza na I ni kutokana na lugha ya kihehe kutaja maeneo kwa kuazia na neno KWI....,mfana; kwihala mana yake porini. Hivyo Kwi.. ikitafsiriwa kiswahili kw inaondolewa na kubakiwa na I. MNYALU ORIGINAL. Nawakilisha

ikokoto,itungi,ibumu.....
 
ihemi, ipogolo, indiuka hahahaa nyela vanyamumo, mtiga kiki sasa? Huu si udesi. Isimani itagutwa, ilula
 
hata mbeya nako yapo na nimejiuliza mara nyingi. kuna itende, iyunga, iziwa, ituha, isyesye, iyunga, iwambi, iganzo, isanga, ilemi, itewe, itiji, iyela nakadhalika.
 
mbona huku kusini NA ndo zipo kwny chati, nangurukuru, nachingwea, nanjilinji, namahema, nangwegwe, nancheto. . .
 
Hivi watu wa Iringa kwanini maeneo yetu mengi mkoani kwetu yana majina yanayoanzia na herufi I!? Mfano Iringa yenyewe, Ilembula, Ipogoro, Igumbilo, Ifunda, Ilula, Isupilo, Itengulinyi, Ipamba, Imalutwa, Isimani, Image, Idete, Ilole, Imalinyi Ihomasa, Ikungwe, Igunga, Ihaami, Ihemi, Igula, Idodi, Izazi,Ihimbo,Itimbo,Itamba,Igingilanyi,Ilamba,Igeleke,Ifwagi,Ikonongo, Ikongosi, Ihanu,Ikanga,Ihefu,Ibwanzi,Ihalimba,Ilogombe,Ihazutwa,Idenyimembe,Igomba,Itengure,Isimkinyi,Itengero,Iyayi,Ikurimambo,na mengine meeeengi.,nipe jibu kama huelewi tuma huu ujumbe kwa mwana Iringa mwenzio mpaka kieleweke.

Sio huko tu na huko Tabora pia kuna Isugilo, isakamaliwa, ipembe,igurubi, ibutamisuzi, igombanilo, igoweko, imenya,ikomba, igumo,isanga,ibologero, halafu kuna mwamakona, mwamilu,mwawilu, mwamashimba, mwabakima, mwakipoleja, mwagala, mwalishiku, mwamakoye, mwasung'o, mwabaratulu, mwanzugi, mwalala, mwazumbi,mwalala, mwamagobo,so tembea uone.
 
Hata dodoma ni 'chi' mf: chifukulo, chipanga, chipogolo, chikuyu, chi... Kibao.
Effect ya lugha mama.
 
hata mbeya nako yapo na nimejiuliza mara nyingi. kuna itende, iyunga, iziwa, ituha, isyesye, iyunga, iwambi, iganzo, isanga, ilemi, itewe, itiji, iyela nakadhalika.

Ongezea Itaka, Iyula, Isansa, Ikuti, Idugumbi, Isenzanya, Idimi, Itumpi, Ilembo, Ichenjezya.
 
Tarime kuna Nyamwaga, Nyabitocho, Nyamongo, Nyasincha, Nyabilongo, Nyanjage, Nyamasanda Nyamboli, Nyandoto nk.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom