Nape kuunguruma Igunga leo

Nape kuunguruma Igunga leo

Mleta mada angeandika hivi nape kulia igunga leo.
Kwani wanao ungurumaa ni kama akina dk.w.slaa na akina lema
 
Nape?... a toothless dog!...huyo hana athari yoyote, endeleeni na shughuli zenu kama kawaida.
 
Ndugu wanajukwaa! Leo kulikuwa na mkutano wa magamba hapa Igunga na matarajio yangu ni kusikia hoja zenye mashiko kuhusu hali ya wananchi wa hapa ila cha kushangaza kila aliyepanda jukwaani ni kashfa na kejeli dhidi ya CHADEMA.Sasa kwa upande wangu sijafurahishwa na maudhui ya mkusanyiko huu ambao umeleta malori kwa malori ya wanachama toka vijijini ili kujaza umma hapa kwenye mnara wa kumbu kumbu ya Sokoine.Nilitarajia kupata mengi kuhusu mustakabali wa Igunga ya sasa baada ya miezi kadhaa ya kukosa mbunge..Kwa mtazamo wangu bado hatujapata mwakilishi stahiki na sielewi ni vigezo vp na hoja gani zimemrudisha madarakani Dr. Dalali Kafumu..naomba kuwasilisha.
 
Leta habari kamili, kiu yangu haijaisha pale uliposema "wamezoomewa" then ukauchuna bila kusema ilikuwaje....funguka sasa..
 
nape nae anaweza kuunguruma kweli?ana ubavu huo?nafikiri anakuja kuhutubia wana ccm wachache sana waliobaki hapo igunga.angekuwa na uwezo wakunguruma ange endeleza ile hoja yao ya kuvua magamba,nape bana kimyaaaaa.

Nyinyi wazee wa ufipa mnachokiweza ni kuwachangisha wananchi baasi
 
Chadema watajificha leo huko igunga,tupeni picha tafadhali vinginevyo hatuwaelewi.
 
Mkurupukaji huyu anafaa kusamehewa.Alikuwa anaota ndoto za mchana.
Shonza naomba nikutaarifu kuwa humu jf kunawatu wako milembe day kwa hiyo ukijibizana nao jua hilo siyo wazima hata kidogo mmojawapo ben saa nane.
 
Back
Top Bottom