Recent content by NIC-TECTURE

  1. NIC-TECTURE

    JamiiForums Tanzania Je, wajerumani ni aliens?

    Na mjerumani kaiga kwa muingereza unakumbuka London Exhibition!
  2. NIC-TECTURE

    JamiiForums Tanzania Clouds Media wanajiingiza kwa nguvu kwenye siasa?

    Wameanza mda mrefu sana ila wewe umeanza kutambua hilo baada ya kuanza kuisema serikali, chadema walipo kua wanadhihakiwa na wao wali lalamika pia ulikua hujui kama ni siasa ila sasa ndio unaona ni siasa
  3. NIC-TECTURE

    JamiiForums Tanzania Magufuli afunguka kuhusu mfanyabiashara aliyeiuza Tanzania Uholanzi, kufeli kwa sera yake ya sukari

    Anaongea kwa kulalamika km naye ni mfanya biashara nilitegemea aongee kama mtu mwenye mamlaka ili kujitoa katika huu mkwamo wa mfumuko wa bei hasa chakula
  4. NIC-TECTURE

    JamiiForums Tanzania Watanzania, Msichaguwe Chama Chagueni Kiongozi

    Faiza leo umekuwa mtamu!
  5. NIC-TECTURE

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kinaishi kwa kuvizia skendo

    hizo skendo ndo zitawaingiza ikulu UKAWA maana chama chetu CCM tusipoacha ufisadi hizo hizo kura za anger zitawabeba wapinzani
  6. NIC-TECTURE

    JamiiForums Tanzania Nape : CCM ndio chama chenye majibu ya matatizo ya wananchi

    kwani nani amebisha! Kwahiyo alitaka majiibu watoe akina nani akat ccm ndo wanaongoza serikali ya mafisgdi
  7. NIC-TECTURE

    JamiiForums Tanzania Sixtus Mapunda akiwa ziarani wilaya ya Igunga na Nzega

    mbona wazee wote kuna vijana hapo?
  8. NIC-TECTURE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbowe na Salum Mwalimu walitumia Vipaza sauti vyenye Rangi ya ACT huko Kigoma?

    hapana walitumia vya rangi ya Mbeya City F.C na sio ACT
  9. NIC-TECTURE

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa UVCCM toka mikoa mbalimbali wakiongozwa na Jery Silaa wafunika Mbeya

    wasanii gani walitumbuiza
  10. NIC-TECTURE

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa chadema kijiji anachotoka mgombea wao ubunge kalenga ahamia ccm

    acha uongo mgombea hatoki wangama.
  11. NIC-TECTURE

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa atangaza rasmi mbio zake za urais 2015...

    kupost utumbo haiitaj kufikir, kwan walioba ndo katoa maon au wananch.
  12. NIC-TECTURE

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa atangaza rasmi mbio zake za urais 2015...

    Ampinga warioba??!' una akili kweli wewe?
  13. NIC-TECTURE

    JamiiForums Tanzania CCM yaupoteza upinzani Tunduma

    Sasa mpinzani ni nan Tunduma CCM au CDM
  14. NIC-TECTURE

    JamiiForums Tanzania Lema: Posho si dhambi, dhambi ni posho inapokosa utu

    Amewakimbiza mafisadi wa CCM Arusha hawana tend chao.
  15. NIC-TECTURE

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya kauli hii ya makamu UVCCM Zanzibar?

    kumbe Mbeya. Kigoma, iringa, singida, dar, mwanza n.k ni moshi? Daah akili ndogo!
Back
Top Bottom