CHADEMA kinaishi kwa kuvizia skendo

CHADEMA kinaishi kwa kuvizia skendo

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
Chama cha siasa makini huandaa Sera na mikakati, kuandaa viongozi imara kuanzia ngazi ya mtaa had I ngazi ya taifa,kujenga ofis imarana kuwalipa viongozi wa ngazi chini ili wasihujumu chama kwanjaa walionayo
.
Pia kutangaza Sera na mikakati mbadala ya kuwafanya wananchi wavutike na wachague wagombea kwa Sera na mikakati.
Aibu kubwa ni kuwa CHADEMA inaiishi kwa matukio. Richmond alishikiabango Dk slaa ss escrow imesaidia kupata baadhi ya wenyeviti wa mitaa na wajumbe. km ulisikiliza kampeni za chadema MTU hasemi Sera ila escrow hivo so kura km umeeleza Sera wananchi wakakubali Bali wanapiga kura kwa anger
.
Ndo maana pamoja na skendo zote growth rate ya chadema ni10%.hivo mpk ifike 51% itachukua 50years.
vivo CHADEMA wanaishi kama fisi pori kusubiri skendo ili iwe manifesto je kusipotokea skendo.??

think critically
Argue don't shout!!!!
 
..CCM mkiacha ufisadi chadema itakufa.

..sasa kazi kwenu: acheni ufisadi.
 
kazi ya chama cha upinzani nibkukemea madudu yanayofanywa na chama tawala...kama unategemea ccm waibe bil 300 chadema ikae kimya wewe utakuwa punguwani..
 
..CCM mkiacha ufisadi chadema itakufa.

..sasa kazi kwenu: acheni ufisadi.

kabisa kwakuwa chadema inaishi kwa kuvizia skendo basi ccm wasifanye skendo watakuwa wameiua chadema lakini kwa upumbavu huu wa ccm kuwa eti mwaka 2016 elimu bure wakati kikwete amemaliza muda wake bila kufanya hivyo mbaya zaidi akiongeza gharama kibao mara pesa ya mlinzi,majengo madawati, mitihani yaani ni use mtupu..
 
hizo skendo ndo zitawaingiza ikulu UKAWA maana chama chetu CCM tusipoacha ufisadi hizo hizo kura za anger zitawabeba wapinzani
 
Ukifahamu kazi ya vyama vya upinzani utaacha kumwaga pumba, tatizo kubwa la nchi hii kwa sasa ni ufisadi, ni lazima ushughulikiwe, wewe unataka Mpige ESCROW halafu CHADEMA wawaache?
 
Watanzania wanachukia UFISADI, sera kila mmoja anaweza kuelezea
 
CCM ni chama cha majambazi.Ubadhilifu wenu wa fedha na mali ya umma ndo umewafikisha hapa mlipo.Wananchi wanawachukia kupita maelezo hata mje na mbinu gani hatuwachagui mwaka huu lazima mkae yaani tuna hasira na nyinyi mpaka basi subirini Oktoba ifike mtaisoma namba wezi wakubwa nyie.nyambafu tena ufunge domo lako kama huna cha kupost kaa kimya kabisa so unaongea utumbo.
 
kuna mnyama anapenda kula nyama ila huwa no muoga kwa wakati mwingine akion MTU BA's huja nyuma akizanimkono utadondoka apate chakula

chama cha siasa makini huandaa Sera na mikakati, kuandaa viongozi imara kuanzia ngazi ya mtaa had I ngazi ya taifa,kujenga ofis imarana kuwalipa viongozi wa ngazi chini ili wasihujumu chama kwanjaa walionayo.
pia kutangaza Sera na mikakati mbadala ya kuwafanya wananchi wavutike na wachague wagombea kwa Sera na mikakati.
Aibu kubwa ni kuwa Chadema inaiishi kwa matukio. Richmond alishikiabango Dk slaa ss escrow imesaidia kupata baadhi ya wenyeviti wa mitaa na wajumbe. km ulisikiliza kampeni za chadema MTU hasemi Sera ila escrow hivo so kura km umeeleza Sera wananchi wakakubali Bali wanapiga kura kwa anger.
ndio maana pamoja na skendo zote growth rate ya chadema ni10%.hivo mpk ifike 51% itachukua 50years.
vivo chadema wanaishi kama fisi pori kusubiri skendo ili iwe manifesto je kusipotokea skendo.??

think critically
Argue don't shout!!!!
Very good na anayewindwa ni wezi na majambazi ya CCM ambayo kama CDM isingekuwepo yangekuwa yameshakomba hata sufuria la raslimali za nchi yasingeonekana.
Safi sana CDM majambazi ni maoga sasa yanaiba kwa kujificha lakini yanakamatwa. Mifano. EPA majizi ya CCM yalivamia bank kuu kuiba fedha za kampeni zilizowezesha majizi kukalia kuanzia ikulu hadi ngazi zote yote mijizi tu. Richmond tulithibitisha kuwa kiongozi mkuu wa serikali alikuwa mwizi mkuu. Escrow mijizi iliyokuwa na viroba ilivamia benk kuu yakahamishia fedha stanbic yakasombelea kwa viroba na marumbesa.
Ukoo wa panya ni lazima ulindwe kwa umakini kwa uangalifu au tutakuta mabua ohhhhhhhhhhhhhh!!
 
Very good na anayewindwa ni wezi na majambazi ya CCM ambayo kama CDM isingekuwepo yangekuwa yameshakomba hata sufuria la raslimali za nchi yasingeonekana.
Safi sana CDM majambazi ni maoga sasa yanaiba kwa kujificha lakini yanakamatwa. Mifano. EPA majizi ya CCM yalivamia bank kuu kuiba fedha za kampeni zilizowezesha majizi kukalia kuanzia ikulu hadi ngazi zote yote mijizi tu. Richmond tulithibitisha kuwa kiongozi mkuu wa serikali alikuwa mwizi mkuu. Escrow mijizi iliyokuwa na viroba ilivamia benk kuu yakahamishia fedha stanbic yakasombelea kwa viroba na marumbesa.
Ukoo wa panya ni lazima ulindwe kwa umakini kwa uangalifu au tutakuta mabua ohhhhhhhhhhhhhh!!

Nimeipenda hii, kwamba ni lazima jambazi achukie jeshi imara la polisi
 
Mkuu assadsyria3, Kwani imewahi kutokea JAMBAZI akafurahia kuona Jeshi la POLISI linaimarishwa?
 
chadema haina Sera mbadala ambayo mwananchi wa kawaida anaitambua zaidi yamaandamano kuteka na kumwagia tindikali
 
chadema haina Sera mbadala ambayo mwananchi wa kawaida anaitambua zaidi yamaandamano kuteka na kumwagia tindikali

Hizi tungo zenu za Lumumba zimeshachuja....Jipangee....

Chadema ni level ingine......utaisoma number....
 
Back
Top Bottom