asenga wa ukaya
Member
- Feb 28, 2014
- 34
- 7
tangu sixtus mapunda ameanza ziara rasmi akiwa katika awamu yake ya tatu sasa,baada ya Tanga na Ruvuma sasa anaendelea na ziara yake katika mikoa ya Tabora,Geita,Shinyanga na Kagera,,,
KILA ANAPOPITA anaonekana kuzoa sana vijana wa chadema ambao wanarudi CCM,leo katika ziara yake ya wilaya ya Igunga na Nzega 'vijana zaidi ya 121 wamerudisha kadi za chadema na kujiunga na UVCCM