Edward Lowassa atangaza rasmi mbio zake za urais 2015...

Lowassa Lowassa please naomba kwa sasa upumnzike kwani tayari 2015 tayari wewe ni rais weka nguvu kwa ajili ya kujiandaa kuapishwa Mr prezda....walai Membe akipewa Nchi hii naenda kuishi kenya na jinsi nilivyo mjaluo I just cross the border, siwezi kukubali kutawaliwa na weak leader, kiongozi asiwe na hata hulka ya uongozi aende akawe kiongozi ya familia ya Mama salma jamaa akistafu

Labda ajiunge CDM kwanza! Akibaki CCM imekula kwake! CCM imeua mno, imebaka, imepora. Haiuziki tena.
 
Lowassa Lowassa please naomba kwa sasa upumnzike kwani tayari 2015 tayari wewe ni rais weka nguvu kwa ajili ya kujiandaa kuapishwa Mr prezda....walai Membe akipewa Nchi hii naenda kuishi kenya na jinsi nilivyo mjaluo I just cross the border, siwezi kukubali kutawaliwa na weak leader, kiongozi asiwe na hata hulka ya uongozi aende akawe kiongozi ya familia ya Mama salma jamaa akistafu

Kwa maana hiyo ni kweli kwamba ni kundi la mungiki?! Manake kama na wajaluo walioikimbia icc na kuja Tz kujificha wanaapa kurudi kenya kama mtu wao hatoupat u prezdaa! Basi shaka hakuna kuwa ni wao
 
Ni katika kanisa la kkkt usharika wa nyumbani kwake monduli. Aweka wazi ndoto za Tanzania anayoitaka na ampinga Warioba kuhusu serikali tatu

Ameenda kuhubiri siasa kanisani?
 
Last edited by a moderator:
kama kweli kasema anampinga mzee Warioba kuhusu serikali 3 basi hana akiri, hayo n maoni ya wananchi sio ya tume ya mzee Warioba
Halafu ana kwenda kinyume na utaratibu wa chama chake huyu Hana tofauti na MM.asubiri panga la Ccm kwa kukiuka utaratibu wa chama
 
kama kweli kasema anampinga mzee Warioba kuhusu serikali 3 basi hana akiri, hayo n maoni ya wananchi sio ya tume ya mzee Warioba

Hoja yake ni kwamba warioba katoa aailimia ya waliotaka serikali tatu, na hakusema hile asilimia iliyobaki ilisema nini!
 
Wakuu nafatilia habari Channel 10 kuna habari ya mhe. lowasa yupo kanisani huko monduli nimemsikia akiomba watz wamwombee ktk safari yake ngumu kwenye milimani, mabonde na miiba. ila mhe. hajafafanua anaelekea wapi. Kuna mtu anayeweza kunitoa tongotongo mhe.ana safari ya kuelekea wapi?

Kwa maongezi hayo, ukisema hivyo kanisani inamaana kuwa; mum-ombee katika safari ya kwenda mbinguni maana anamajaribu mengi na mapito magum ya kidunia.
YUPO KATIKA SAFARI YA KWENDA MBINGUNI.
 
Ni katika kanisa la kkkt usharika wa nyumbani kwake monduli. Aweka wazi ndoto za Tanzania anayoitaka na ampinga Warioba kuhusu serikali tatu

Na huyo ndiye anataka kuwa Rais wa JMT? Kwani maoni ya serikali 3 ni ya Warioba au Watz? Akiwa Rais si ataikanyaga Katiba badala ya kuilinda?
 
kupost utumbo haiitaj kufikir, kwan walioba ndo katoa maon au wananch.

Kweli wewe ni nice texture! Sasa huo ni utumbo wa aliyepost au aliyesema akanukuliwa?! Yafahaa uwe na comprehending capacity ili uweze kuchangia post za wenzio, sawa sawa??
 
Hivi hizo kele zote za nini,2015 is arround the corner. Kwanini tuumize vichwa? Mda huu ni kumuomba tu YEHOVA MUNGU atupe uhai mimi na wewe tuwe mashuhuda kwa kichapo cha mbwa mwizi juu ya magamba,hakuna cha mamvi,six,mende cjui,migiro na mwingine yeyote mtakaye msimamisha. MUNGU NAOMBA NIPE UHAI HATA NIJE NISHUHUDI mtanange huu.
 
Hili fisadi....linaiibia nchi then linajifanya kutoa misaada kupitia harambee!!! Alitakiwa kuwa gerezani siokuukimbiza uraisi!!
 
Back
Top Bottom