Recent content by Nhunda

  1. N

    JamiiForums Tanzania Please! Please! Please CHADEMA nawaomba mkubali matokeo Igunga

    bigup CDM endelezeni mapambano.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mkurya huyu katiya fola.

    KDDDA Company Box Musoma APLICATION OF JOB I am aply to my job of security guard to you boss in you company of KDDDA. I am complete to Sitandad 7 examination certificate in 1997. My skool here Nyamongo very good. I am 27 ears to be Born of age and no waif and no childish. My father deaded...
  3. N

    JamiiForums Tanzania "Babu" na mseto wa kauli zake

    {QUOTE=Miss Judith;1797201]kazi ipo! source:https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/119766-hoja-ya-shossi-juu-ya-sh-500-ya-babu-17.html eti tiba ya Mungu isiporatibiwa na viongozi wa serikali haitakuwa endelevu!! tafakari huyu ni Mungu gani? source:Waziri Simba aonja joto ya jiwe kwa...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanalia, Rais analia

    Ni wakati umefika sasa JK akili kuwa kuna group la viongozi walioteuliwa na Mungu yaani (Philosopher King) na kuna watu wa kuongozwa yaani (Populace). Sasa inapofikia mtu anayetakiwa kuongozwa anakuwa kiongozi mambo haya lazima yatokee. Yaani nchi inageuzwa kuwa kichwa cha mwenda wazimu. Ni...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ni Mikoa Ipi itaongoza kwa Maandamano tukitaka Mapinduzi

    Ninge pendekeza maandamano yafanyike mkoani Tabora. Tabora ndiyo mwisho wa yote, Uhuru wa nchi hii ulipatikana Tabora ambayo baada ya uhuru ikatelekezwa watu walishajikatia taama lakini watu wamkoa wa Tabora ndiyo wanaoujua uchungu wa nchi hii. nina pendekeza maandamano yafanyike Tabora.
  6. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA YA SITA (hesitate) KUHUSU MUUNGANO.

    Nimesha ilekebisha wakuu
  7. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA YA SITA (hesitate) KUHUSU MUUNGANO.

    Nimekuwa nikijiuliza kwamba, kufuatia Dr. Slaa kutopiga kampeni zake za Urais visiwani Zanzibar wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu octoba mwaka jana; Je ni nini mtazamo wa Chadema kuhusu Muungano? Ndugu wanajamii naomba mawazo yenu.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Babu wa Loliondo afungiwa kwa muda kutoa huduma...

    Kufuatia ujumbe uliotumwa na wizara ya afya na ustawi wa jamii kwenda Loliondo kwenda kuangalia uhalali wa matibabu yanayo tolewa na babu inasemekana babu hakuwa tayari kuruhusu wataalam hao kuipima dawa yake. ndugu wanajamii je hiyo imekaaje?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Je kukwea pipa kwa jk juzi kunaonesha kuyadharau maandamano ya chadema?

    Ref:Bless the 12 What you have demonstrated here is true, but you have failed to capture what was intended (root cause) to be discussed in the main topic. Hapa tulichokuwa tunajaribu kuangalia nijinsi mtu anavyo weza kukwepa majukumu yake kwakwenda ziara za nje kwa mfano baada ya mabomu ya...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Je kukwea pipa kwa jk juzi kunaonesha kuyadharau maandamano ya chadema?

    Ref: bintimkongwe Baba wafamilia anayeiacha familia katika mtafaruko nakuondoka zake, je huyo ni baba mwema?, je anajali familia yake, je anastahili kuigwa?. tafakari
  11. N

    JamiiForums Tanzania Je kukwea pipa kwa jk juzi kunaonesha kuyadharau maandamano ya chadema?

    Hiyo nikweli inaonesha yeye anaonekana kuwajali zaidi wananchi wakati anawaomba kura baada ya hapo maslahi yake anayatanguliza mbele zaidi, wananchi watafakari juu ya hili.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Je kukwea pipa kwa jk juzi kunaonesha kuyadharau maandamano ya chadema?

    Ndugu wanajamii suala hili limekuwa likinipa taabu sana, inawezekanaje Rais kuondoka nchini wakati nchi yake ikiwa katika wakati fulani mgumu aidha kisiasa au kijamii. Raisi Kikwete mara baada tu ya mabomu kulipuka kule gongo la mboto aliondoka nchini, sasa hivi pia kaona maandamano yamepamba...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini kila baada ya uchaguzi mkuu awamu hii ya jk taifa lazima likumbwe na baa la njaa?

    Ndugu wanajamii kwanza tupeane pole kwa tatizo la upungufu wa chakula linalolikabiri taifa letu. Nijambo la kushukuru Mungu kwa kuwa hata JK analitambua na kalipa uzito wa kuliweka kwenye hotuba yake ya mwisho wa mwezi wa pili. Ndugu wanajf suala likiongelewa na Rais si dogo, jua kuna maelfu...
  14. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuandamana Mwanza Feb 24; kupinga ufisadi, JK ajiuzulu

    Mafisadi dawa yenu imeiva, tuachieni nchi yetu.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Je, watanzania ni nini cha kujivunia kwa sasa, amani au utulivu?

    Ndugu wanajamii nimekuwa nikijiuliza nikipi ambacho mtanzania ana jivunia kwa sasa? zamani watanzania tulikuwa tukijivunia Amani. Je ni sahihi kuendelea kujivunia Amani? Je nikweli Tanzania inastahili kuendelea kuitwa Kisiwa cha Amani kamailivyo zoweleka kuitwa? Mimi ndugu wanajamii...
Back
Top Bottom