Hivi ni kwanini kila baada ya uchaguzi mkuu awamu hii ya jk taifa lazima likumbwe na baa la njaa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni kwanini kila baada ya uchaguzi mkuu awamu hii ya jk taifa lazima likumbwe na baa la njaa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nhunda, Mar 2, 2011.

 1. N

  Nhunda Member

  #1
  Mar 2, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu wanajamii kwanza tupeane pole kwa tatizo la upungufu wa chakula linalolikabiri taifa letu. Nijambo la kushukuru Mungu kwa kuwa hata JK analitambua na kalipa uzito wa kuliweka kwenye hotuba yake ya mwisho wa mwezi wa pili.

  Ndugu wanajf suala likiongelewa na Rais si dogo, jua kuna maelfu ya watu wanahangaika na pengine wanapoteza maisha yao kwa kukosa chakula. Imefikia wakati na jiuliza bila kupata jibu; Hivi kwanini kila baada ya uchaguzi katika awamu hii ya JK taifa lazima likumbwe na baa la njaa? baada ya uchaguzi mkuu 2005 mwaka uliofuata yaani 2006 taifa likakumbwa na njaa kubwa, uchaguzi mkuu 2010, mwaka huu yaani 2011 taifa tena limekumbwa na tatizo lilelile.

  Ndugu wanajf, nini hasa kinaashiriwa na tukio hili linalotokea katika msimu unaotanguliwa na uchaguzi mkuu tu katika awamu zote mbili za JK?
   
 2. d

  dotto JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ana asili ya njaa
   
 3. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,419
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  Nhunda umeanzisha topic ambayo leo mchana nilikuwa kwenye kiti moto na ugali ikawa inajadiliwa.....

  tofauti na mzee Mwinyi, kila akiingia ilinyesha mvua na neema ilionekana.....Mungu huwa ana wateule wake aliowateua kuwa viongozi...wenye kuwapenda watu na kufanya yaliyo mema.....

  sauti ya wengi ni sauti ya mungu...mungu hupenda wanaoisikiliza sauti yake na si kuchakachua....

  mungu hupenda mtu anayeingia ikulu akimtegemea yeye na sio majini na maruhani.......

  mungu ameiagiza mbingu na dunia kumlea na kumbariki aliye wake...na kumlaani asiye wake.......hii ndio sababu...

  mungu akimbariki baba wa familia, familia hufurahi, akimlaani, familia huteseka.....vivo hivyo..mungu akimbariki raisi, taifa huneemeka, akimlaani raisi taifa huteseka........

  kwa nini tunawaenzi mafirst lady na mafirst genlemen?? kwa sababu tunajua wao ni chanzo cha baraka ya mwenzie ambayo at the end inatufikia na sisi....

  unaonaje kama raisi anabadilisha vimada kila dakika? akikumbatia uovu? rushwa? akiamini ushirikina?? anashinda casino? sio chanzo (gundu) cha matatizo kwa nchi? nyerere alituonya haya CCM hiyo!
   
 4. a

  abduel paul Senior Member

  #4
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ingawa sikua nimeli note hilo, lakini kuna mambo kadhaa ambayo nayapa angalizo, Kwanza RAIS WETU AMEKOSA BARAKA, EITHER YA IMANI YAKE AU YA IMANI NYINGINE, kwani katika vipindi vyake pamekuwa na watu kujiamulia mambo wanavyo taka pasipo kunyoshewa kidole wala kukanywa, wala kuwajibishwa, anayeruka anaruka hata akitua kwenye ugali sawa, anaye piga msamba anapiga hata akichana suti mpya sawa, anaye jisaidia frijini ana jisadia hakuna wa kuhoji why, wana nchi wakihoji....! MABOMU, RISASI, lakini jambo jingine ambalo lina nipa wasiwasi nahofia yamkini Rais wangu labda ikawa pia anajihusisha na ushirikina, kwani ile kuwa na mahusiano na Sheghe Yahaya ni jambo ambalo linanitia mashaka sana, kwani HAPANA KATU MTU AKAWA MSHIRIKA NA MCHAWI NA HAKIJUA SHUGHULI ANAZO FANYA YULE MCHAWI NAYE ASIWE MCHAWI, kikubwa ni kumuombea amalize haraka wakati wake, HAKUNA VIPINDI VILIVYO WAHI KUWA VIGUMU KIMAISHA KAMA VIPINDI ALIVYO ONGOZA RAIS WETU WA SASA, kweli kasi ya umaskini mpya, Nguvu ya mafisani Zaidi, Hari ya Ufukara mbele,
   
 5. S

  Selemani JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2011
  Joined: Aug 26, 2006
  Messages: 871
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  This is really bad thinking. Very subtle and dangerous form of udini, because the accuser doesn't even know kwamba ni mdini. Wengine hawaamini kama Mungu yupo and this is their country too. Wewe una imply hapa kwamba JK amelaaniwa. I tell u this, hata kama Rais angekuwa Padri mtakatifu Slaa, there nothing to stop climate change. Record snow in western countries, record heat in the tropics.

  This is what happened after decades of green house emission. Mabwawa huko Manyara yanakauka, Mamba na viboko on our National parks wanatoweka. Dar is HOOOT and humid, like never before. Kumlaumu JK because of climate change is showing 1) You are just dumb 2) You decided to let Chadema think for u 3) You plainly hate JK and CCM.

  Regardless of our party affiliation, let us not loose our independent to THINK on our own. No priest, or politician can think for you.
   
Loading...