Ni Mikoa Ipi itaongoza kwa Maandamano tukitaka Mapinduzi

Mkoa upi unafaa kutumika kwa Maandamano kuleta Mapinduzi Nchini


  • Total voters
    53
  • Poll closed .
Nimeuliza ili CHADEMA wajue which region will inspire the most and may bring muamko zaidi kwa mikoa mingine maana i have seen wengine hata hawana habari wanaona mgao pouwa tuuu, sukari bei juu sawa tuu, na maisha magumu kwao ni sawa tuu na wanajifariji kwa msemo "hata dukani panya wamo" ikiwa inamaana unaangalia je nimepata faida kama ndio basi hata wakila hawanidhuru sana hao panya....wanasahau bandu bandu humaliza gogo na Mwanzo mgumu ila mwisho mwepesi......
 
Hata tunisia na misri ni miji michache iliyofanikisha kupatikana kwa demokrasia ya kweli. Kwa hapa tanzania nadhani mikoa ya mara, arusha, mbeya, mwanza na dsm inatosha kabisa.
 
Hii thread yako inapotosha.kuleta mapinduzi gani ! Chadema wanaelimisha wananchi haki zao(kupata huduma za jamii-maji elimu, umeme afya nk) na wajibu wao kwa serikali.
Unasema tukitaka mapinduzi labda utuelezee mapinduzi ya aina gani! Unapotosha mkuu
 
Bara yote italipuka, watu wamepigika mno na CCM, nina shaka sana na pemba. maana mtu wao tayari anakula bata CCM
 
Ninge pendekeza maandamano yafanyike mkoani Tabora. Tabora ndiyo mwisho wa yote, Uhuru wa nchi hii ulipatikana Tabora ambayo baada ya uhuru ikatelekezwa watu walishajikatia taama lakini watu wamkoa wa Tabora ndiyo wanaoujua uchungu wa nchi hii. nina pendekeza maandamano yafanyike Tabora.
 
Maandamano yafanyike mikoa yote mikubwa nchini kwa wakati mmoja -- Arusha (watu 1.5m), Dar (3m), Kagera (2m), Kilimanjaro (1.5m), Mara (1.3m), Mwanza (3m), Mbeya (2m).

TOTAL Population ya mikoa hii ya ukombozi = almost 15 million (nusu ya nchi)
 
Mi nahic mbeya itaongoza coz watuwake wanajiamini kupita kiasi kwamfano hatua ya kumpiga mawe jk . Kumzomea mama salma na jk. Pia huku picha za dr slaa zinauzwa mitaani kuliko za raisi yaani mpaka vijijini ni peoples power tu .dar siwategemei sana coz wamejaa waswahili walio wanafki pamoja na matajiri wasio jua matatizo ya watanzania.
 
maandamano yafanyike siku moja, saa moja mikoa ya Mwanza, Arusha, Mbeya, Dar, Shy, Mara na Kagera...tut afanya mapinduzi ya kweli
 
Mi nahic mbeya itaongoza coz watuwake wanajiamini kupita kiasi kwamfano hatua ya kumpiga mawe jk . Kumzomea mama salma na jk. Pia huku picha za dr slaa zinauzwa mitaani kuliko za raisi yaani mpaka vijijini ni peoples power tu .dar siwategemei sana coz wamejaa waswahili walio wanafki pamoja na matajiri wasio jua matatizo ya watanzania.

dar maskini ndo wengi mkuu
 
Dar hawana msimamo ndio maana majimbo yao mengi yanaishia kwa CCM, hii issue itaanzia Mwanza, Arusha,Mara, Kilimanjaro,Shinyanga, Mbeya, Kigoma, Iringa na mwishowe DAR
 
Mimi simo nitakuwa tayari TUNISIA ambako tayari kumetulia. Msiombe Mapinduzi maana hujui itakula wapi?
 
Back
Top Bottom