Hapo inaonyesha ni jinsi gani bunge letu linavyoendeshwa kimabavu. Nia yao ni kuwa wabnafutata yale yanasomwa na wabunge wa upinzani ambayo yanakosoa serikali lakini si dawa watu wataendelea kupaza sauti zao. Yaliyotokea Mtwwara yatasambaa sehemu kubwa ya nchi hii:target:
waume wote ni wa watu, huyo wa kwako utampata lini we jurushe naye tu,akitokea anayesema wake muulize alimuumba lini?
yeye kama anajue ana mke anakushobokea nini, au ukiona hivyo ujue kuna kitu anakosa ampe aridhike huenda akabaki keako maisha
:director: Hiyo kweli imetulia akina kaka piteni tu haiwahusu. Ila for dadas inatuhusu sote, kama uliolewa zamani unda upya ndoa yako weka mbolea na kupalilia upya. big up mama
:director: Hiyo kweli imetulia akina kaka piteni tu haiwahusu. Ila for dadas inatuhusu sote, kama uliolewa zamani unda upya ndoa yako weka mbolea na kupalilia upya. big up mama
a very nice story, inafundisha mengi . Binadamu si wakamilifu, tunahitaji werevu na busara kukabiliana na matatizo yanayotukabili. Ufumbuzi wa tatizo ni muhimu sana kuliko kulikimbia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.