Recent content by Ngwananzengo

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nimwacheje huyu mama?

    Tatizo lipo kwa huyo kijana. Miaka 33 ni MTU mzima na anao uwezo wa kujisimamia. Anaonekana bado ni kijana kifikra na kimaamuzi ndio maana analia lia eti anaharibiwa. Huyo mama anamuharibiaje kwa watu ambao hawaishi karibu wala kufanya kazi pamoja?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Celebrities wa Tanzania wanasaidiaje jamii kipindi hiki cha janga la Corona?

    Mbona tunawaonea Viumbe hawa? Hivi Zaidi ya umaarufu wana uwekezaji gani wa maana unaowapatia fedha? Jana tuliwananga kwa kula hela za misiba, Leo tunataka wachangie, watatoa wapi?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Unaweza kudate na EX wa rafiki yako?

    Kiukweli sio jambo jema kurukia dada wa rafiki yako. Kiuhalisia nyie ni ndugu na mnasaidiana kwa hali na mali. Bora huyo rafiki aseme amebadiri gia angani ameamua kumuoa dada hapo inaingia akilini. Kama kaweza kwa sister akili ikimruka si ataenda kwa Bi Mkubwa. Mipaka ni muhimu.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Usimliaji wako unanikumbusha mbali sana, miaka ya 1970/80. Enzi hizo mastaa walikuwa wachache sana na MTU akiwa staa ni STAA wa ukweli. Ukimuona MTU kama Michael Jackson anahojiwa kwenye media unaona kabisa anajibu kwa madaha na huku huku akinata. Inakuwa kana kwamba media na hadhira...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Maisha: Changamoto za kuzaa nje ya ndoa

    Wakati unafikiria nini cha kufanya Mkatie mwanao Bima ya Afya. Pia anza kupima kina cha maji hapo nyumbani ili uone jinsi gani utamleta mwanao aje kukaa na wewe. Binafsi naamini wajibu wa mzazi ni kupandikiza kile anachoamini kitamsaidie mwanae kupitia malezi
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ulianzaje kukaa gheto?

    Duuhhh Kazi kweli kweli. Binafsi nimebaini Sisi weusi (waafrika) hatutaweza kuendelea kwa haraka na kuufukuza umasikini. Kila anaepanga anasema alipanga ili ipate akili ya maisha. Haya mmepata akili ya maisha mbona umasikini ungali umetamalaki? Zamani katika baadhi ya jamii (mfano wasukuma)...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

  8. N

    JamiiForums Tanzania Kula tunda kimasihara kunavyoigarimu ndoa yangu

    KOSA HUWA HALIHALALISHI KOSA. Kwa maana hiyo jamaa yupo sahihi. Alizaa nje sawa, na mtoto aliemzaa ni wake. Mwisho wa siku aliamua kuvuna alicho panda kwa kumleta mtoto wake kwake na si kwa mtu mwingine.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Je, uliwahi achwa na mtarajiwa wako, Mume/ Mke kimasihara?

    Wapo wasukuma na wasukuma.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Dawa dhidi ya marafiki wabaya wa mke wangu imepatikana, jaribu na wewe huko

    Duuh kazi kweli kweli. Mume na mke wasipofanana ndoa itadumu vipi? Ndege wafananao huruka pamoja.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati forum hupinduka na kucheua

    Wakati wote, muda wote tambua upo sokoni. Katika kutenda na kunena ni vyema kuwa makini. Ni kweli "Mavi ya kale hayanuki" lakini kwa ulimwengu wa sasa yaweza nuka.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es salaam yazidi kupokea meli kubwa duniani

    Kuna dhana hutumika katika masuala ya fedha. Dhana hiyo hufahamika kama "Input output ratio". Swali la kujiuliza je, nini manufaa ya kuja kwa meli hii kaw uchumi wetu na katika mnyororo wa thamani? Au ni mwendo wa vigeregere mithili ya juha kwa kila jambo linalofanyika katika awamu hii ya...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Wizi wa Bank ya CRDB Part II

    Hongera sana kaka, mfumo wa soko huria unalengo la kuchochea ushindani ili upatikane unafuu kwa wateja/walaji. Kwa kiasi kikubwa huduma za benki zetu nyingi hasa zile ambazo tunazimiliki wenyewe(watz) na kwenye menejimenti tupo wenyewe zinakuwa na uendeshaji wenye kukwaza wateja. Jambo la...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Vinasaba kwenye nywele, uhai wake na malighafi bora ya wachawi

    Ya walimwengu na ulimwengu. Waingereza husema ,"Don't say impossible even if it is impossible"
  15. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure: Usioe career woman!

    Naomba tukubaliane kutokukubaliana. Kila mmoja huwa ana ndoto zake au kuna aina ya maisha ambayo hupanga kuyaishi. Kila uchwao ni mapambano ya kufikia ndoto/maono uliyojipangia. Kuoa/kuolewa ni sawa na kuwekeza au kununua hisa kwenye soko la hisa. Kuna mengi ya kuyatafaki kabla ya kuchukua uamuzi.
Back
Top Bottom