Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,548
- 860,650
Unaweza kudhani nazungumzia kile unachokiwaza mawazoni mwako... Picha iliyojengeka ya kitu kilichopinduka...! Most likely gari.. Likiwa kichwa chini mijuu guu.! [emoji144] Ama dhana ya kucheua, moja kwa moja ukimwazia mnyama kama ng'ombe ambaye mchana kutwa hukusanya chakula chake na kukihifadhi pahala huko tumboni na usiku uingiapo kwa hali ya utulivu hukirudisha mdomoni na kuanza kukichakata na kukitafuna vizuri... Huku ndio kucheua halisi tofauti kabisa na kule kubeua kwa binadamu...
Usifananishe pia kucheua na kutapika... Matapishi hayaliki tena! Yananuka na hata nguruwe hawezi kula... Wala nyama ndio hutapika.... Mnyama alaye majani hatapiki sanasana hucheua tuu... Atatapika labda kama kala kitu kibaya ama la anaumwa...!
Hebu turudi kwenye msingi wa mada sasa..... Unapoweka mada hapa inaweza kuanza kwa kasi, ikapaa kwa uchangiwaji lakini taratibu hupoa na kupotea kabisa.... Lakini from nowhere na bila kutaraji baada ya mada kupotea na kusahaulika jukwaani unaiona hiyooo... Hapo forum tambia imecheua... Kuna wakati zinafululiza mada za zamani kama zote, hapo jua kuwa forum imepinduka, vya juu vimerudi chini na vya chini vimeenda juu.... Usihamishe mawazo yako kwa mwanamama kibonge aliyepinduka... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Jana Malcom Lumumba kaipindua forum kwa mada za nyuma za kaka Mango[emoji859][emoji859][emoji859][emoji859]dah huu mkakati wa wa coming back umewashangaza wengi...
Kupinduka na kucheua huku kwa mada si jambo la bahati mbaya hata siku moja.. Sometimes ni mkakati, sometimes ni nature but all in all maandishi hayafutiki yakiandikwa leo hata yapotee kesho ni sawa na sleeping volcano kuna siku inaliamsha (sio dude)
Itafika siku forum itacheua mada za mwanzo walizoandika watu wakati wanajiunga na JF.... [emoji23][emoji23][emoji23]kuna watakaozikimbia nyuzi zao..... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]