Recent content by ngumoni

  1. ngumoni

    JamiiForums Tanzania Wanaume kupotea baada ya muda mfupi wa mahusiano

    Inategemea mlianzanzaje na tabia yako ilibadilika, pengine ulimsumbua kuomba pesa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. ngumoni

    JamiiForums Tanzania Aina 12 za wanawake wa kuepukwa na mwanaume yeyote

    Namba moja na namba mbili umechemka vbya sana, kupendwa ndiyo key muhimu kuwa na husiano imara
  3. ngumoni

    JamiiForums Tanzania Simba mara ya nne sasa mnakosea tena

    Simba kawa nyau hana madhara kabsa
  4. ngumoni

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Treni ya abiria iliyokuwa ikielekea bara yapata ajali

    Kumbe milembe ni mahali panapotuondolea usumbufu uraiani, huyu jamaa atakuwa ametoraka si bure
  5. ngumoni

    JamiiForums Tanzania SUMATRA na mabasi ya shule yanayobeba wanafunzi

    Ongezea na school buses za Atlas school kwanza hazijasajiliwa pili zinajaza watoto kama Vitunguu kwenye gunia
  6. ngumoni

    JamiiForums Tanzania Yanga kutwaa ubingwa mara 25 lakini hakuna mafanikio kimataifa ni aibu

    Simba wajinga sana kwakweli
  7. ngumoni

    JamiiForums Tanzania Naisikia Singida United tu Lipuli na Njombe Mji mpo wapi?

    Singida united nyuma yake yupo Mohamed Dewj na mwigulu so lazima iwe vyema
  8. ngumoni

    JamiiForums Tanzania Matusi ya kingereza VS Kiswahili

    Mleta mada Kama huna cha kupost jifunze kuchangia post za wenzako au kaa kimyaa
  9. ngumoni

    JamiiForums Tanzania Binti hajawahi kuniona uso kwa uso ila ananiomba hela

    Cha ajabu nini? Kama uliweza kumtongoza ukiwa humfahamu akakukubalia bila kukufahamu iweje ushangae kuombwa hela kisha hakufahamu, acha kutuabisha wanaume
  10. ngumoni

    JamiiForums Tanzania Single mothers wanavyokera na picha za watoto wao mitandaoni

    Mbona Leo hujamalizia na makonda oyeeee au hajakupa dau la siku?
  11. ngumoni

    JamiiForums Tanzania Hod enye ndugu zangu !

    Ndo nimeshafika kbsaaa
  12. ngumoni

    JamiiForums Tanzania Hod enye ndugu zangu !

    Asante, nikaribie wapi
  13. ngumoni

    JamiiForums Tanzania Hod enye ndugu zangu !

    Asante sana prof Ndumilakuwili
  14. ngumoni

    JamiiForums Tanzania Hod enye ndugu zangu !

    Sawa mkuu
  15. ngumoni

    JamiiForums Tanzania Hod enye ndugu zangu !

    Asante ukhuty
Back
Top Bottom